Wadau wa Google Admob, tupeane Hints

thekibby

New Member
Aug 29, 2021
1
0
Mambo vip wakuu, nimekuwa nikifanya monetization kwa kutumia Facebook Audience Networks for a years baada ya kuwakimbia Google Admob, ila hizi Ishu za bidding zimenirudisha tena kwenye Google Admob.

Nina ishu moja so far, nina App zangu kama 3 hivi ambazo content zake ni za lugha ya kiswahili, jana nilipata notification kutoka Admob ya policy strikes, sasa nilikua nauliza je, ADMOB HAWA SUPPORT Kiswahili katika Programm yao?? Au ndo kama yale Mambo ya Google Adsense???
 
Kuna makala nishawahi kupitia zinadai admob hawataki kiswahili. Ila vp hizo zingine wamekuzingiwa nn ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom