Wadau wa Chit-Chat nani hakuwahi kafanya hiki

427248_370117839727478_1324293058_n.jpg


:A S-coffee:....

Haahahaa:) umenikumbusha mbali sana! Akikubali Natasha, baru ya kwake unakuta imepakwa na poda-unainusa kidogo kabla hujaifungua!

Mdogo wangu alikamatwa ameiba typewriter ya mama kachapa barua ya mahaba kwa binti-kipigo aichopata toka kwa mama nahakika hadi leo anakikumbuka!
 
Hakika umenigonga kunako!
Btw nahusika na uandishi wa design hiyo, zama hizo.
 
Tooo bad sijawahi pata hizo barua na.utu uzima huuuu simu mbaya sana kwani siku hizi ni sms tuuuuu hata huoni mwandiko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom