Elections 2010 Wadau vipi mdahalo wa rais wa zamani kikwete utafanyika

Jan 16, 2007
721
176
Katibu ya kampeni Kinana alituahidi mdahalo wa JK baada ya uchaguzi Je utafanyika?Atazungumzia nini?Kutangaza matokeo ya uchaguziiii?Kuomba msamaha kwa Watanzania kwa alikotufikisha?Kubatilisha uchaguzi na kutangaza hali ya hatari??????????Wadau kwa anaejua kuhusu the so called Mdahalo wa JK tufahamisheni.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom