Wadau, utaratibu wa kuhama Shule kwa Mwanafunzi wa Kidato cha 5 ni upi?

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,944
9,160
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natanguliza salamu.

Ni kwamba kuna mtoto wa ndugu yangu kutokana na changamoto fulani fulani anazopitia alitaka kuhama shule aliyoripoti mwaka jana mwezi wa saba na kwenda shule iliyopo mkoa alikotokea yeye na wazazi wake mwezi huu wa Januari

Hivyo wadau kama kuna anayejua utaratibu wa kuhama kutoka shule moja kwenda nyingine ninaomba utaratibu unaotakiwa kufuatwa ili niweze kuwasaidia hawa ndugu ili waweze kufanikisha zoezi zima.

Natanguliza shukurani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom