Wadau tuweni serious ili tuweze kusaidiana naamini wote tuna shida ila zitofautiana kwa degree flani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau tuweni serious ili tuweze kusaidiana naamini wote tuna shida ila zitofautiana kwa degree flani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mabumbe, Aug 5, 2012.

 1. mabumbe

  mabumbe JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Heshima zenu wakuu,,,
  Mimi nimeomba mkopo wa 3ML nikiwa serious na nia dhati kabisa (bado nauhitaji lakn), Pia nkasema kwa yeyote anayehitaji machine ya aina yeyote ile anitafute lakn watu hawako serious wananijoke, wanidharau, wananikatisha tamaa na wngine hadi matusi kabsa,,, kwa nin hivi lakn???Naamin M2 anayeingia JF ni Mwenye upeo, Uelewa na Elimu,, Jaman tuwen serious wadau tukiitumia vizuri JF itatukomboa,, Wadau mimi kwenye Machine natafuta wateja na kuwapeleka ofisi husika,,, sasa tatizo liko wapi??? kipato changu bado hakitoshelezi ndo mana naomba mkopo kwa walala hoi wezangu wenye uwezo kiasi...
   
 2. kelvito

  kelvito JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu humu jf kunawatu wengi na kumbuka kila mtu analake kunamafisadi, kunawalioshiba mpaka wanatapika na kunawenye njaa usikate tamaa na hao waliovimbiwa kumbuka wenye kuhitaji pia tupo.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Labda kwa suala la mashine ni kwa vile hujaeleza mashine gani unayotafutia wateja!
   
 4. mabumbe

  mabumbe JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nimesema machine ya aina yeyote ile,,,, machine kubwa na za kati haziuzwi dukan zinatengenezwa kwa order,,
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Post ya mwanzo umeelezea vizuri sana !!! Ila kumbe ndo wewe unasema mashine tu halafu husemi mashine gani????
  Matusi hapo hayakwepeki!!!! Labda ufunguke zaidi!!!
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Pole mwaya. Mie nilisema unipe namba ya MPesa unasisitizia nikuone kwanza. Unamjua PAW? Ana wivu kama nyoka, ataniua akisikia hii habari.
   
 7. C

  Choi Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  duh, ndugu inabidi utoe maelezo ya kina kama unahitaji ushirikiano wa kweli usilaumu tu watu! mashine ziko nyingi sana za matumizi tofauti tofauti, kuwa muwazi toa maelezo yaliyokamilika
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  We unauza mashine yeyote kweli? Be specific bwana,unaweka mshine then hauweki bei tukueleweje sasa? It seems ur not serious!
   
 9. mabumbe

  mabumbe JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 305
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mkuu machine siku hizi zinauzwa kulingana na mahitaji ya mteja so nina uhakika machine ya aina yeyote ile utaipata ukinitumia mim,,
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mimi nataka mashine ya kuchimbia kisima cha gas Mtwara. Niko serious.
   
 11. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  pole mkuu,dont giv up kaka...
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,069
  Likes Received: 7,281
  Trophy Points: 280
  Kaka,
  Kuna aina nyingi za mashine, from imported to home made.

  Logically haiwezekani uwe Na uwezo wa kupata aina zote za mashine. Labda useme kua wewe ni Dalali so utakua unaweka cha juu!!

  Na kwa uhakika kwa mtu mwenye uwezo wa kupata kila aina ya mashine duniani akose Tshs 3Mil kweli???!!!

  Ndio maana watu wanakukejeli kwa kukuona mwongo kaka!!
   
 13. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama umetoa offer ya kusaidia wadau kupata mashine basi uko juu saaaaaana. Hili ni tatizo sana Tanzania kupata mashine fulani.
  tafadhali nipatie taarifa jinsi ya kupata mashine ya kutengeneza juice ya miwa inayotumia umeme.
  Asante sana...
   
 14. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hebu msome tena. Maelezo yake yapo clear kabisa.
   
 15. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mabumbe usigive up, ipo siku watahitaji machines zozote ndio watakumbuka uwepo wako.
   
 16. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  mabumbe mbona umeingia mitini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...