Wadau niwekeni wazi lemeli kwenda kugomea jimo jipya imekula kwake au ni tetesi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau niwekeni wazi lemeli kwenda kugomea jimo jipya imekula kwake au ni tetesi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gokona, Jul 27, 2010.

 1. G

  Gokona Member

  #1
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau mimi nipo kahama na ni mwanajamii sasa nataka kupata uhakika hili jimbo analogombea lembeli lipo au wamemfanyia usanii wamtosee? hebu wenye taarifa na sio tetesi watuweke wazi maana haya yana maslahi na taifa.natia nia katika hili naomba majibu wahusika.
   
 2. Kiwalani

  Kiwalani Senior Member

  #2
  Jul 27, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu, taarifa ya uhakika ni kwamba wote waliokuwa wanagombea ktk jimb jipya lililofutwa wanahamia kugombea jimbo la Kahama, automatically ..... hivyo mpiganaji James Lembeli bado yumo.
   
Loading...