Wadau nisaidieni angalau pa kujishikiza kwenye jiji hili.

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Nawasalimu wote wazima? Natumaini mtakua wazima wa afya njema, niende moja kwa moja kwenye mada.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nimekuja kwenye jiji lenu kwaajili ya kazi fulani ila sasa hio kazi itaanza kufanyika mwezi ujao kwa hio hapa nipo tu sina kazi yoyote nawaomba mnipe japo kibarua cha kujishikiza kwa muda huo ambao nitakua free, sihitaji maslahi makubwa ni we mwenyewe utakua unanifikiria tu kwani sijazoea kukaa bila kazi.

Nawasilisha.
 
Jiji gani dzm ama?
 
Mkuu hujaeleza vitu muhimu!
Kazi gani unaweza kufanya?
Unavigezo gan yaan CV yako kiufupi ikoje?
Je upo jiji lip? Na sehemu gan?
 
Samahani kwa kuto kufafanua vizuri, nipo hapa kwenye jiji la Dar es salaam, kuhusu cv haina haja sana kwasababu mi nataka kujishikiza kwa muda tu nadhani nimeeleza vizuri hapo juu, kwa hio ni kazi yoyote ile itakayokuwepo mbele yangu naifanya ili mradi tu nipate mahala pa kushinda kwani sijazoea kushinda bila kazi, nipo hapa mpaka tarehe moja bila kazi kwa hio siwezi.
 
Samahani kwa kuto kufafanua vizuri, nipo hapa kwenye jiji la Dar es salaam, kuhusu cv haina haja sana kwasababu mi nataka kujishikiza kwa muda tu nadhani nimeeleza vizuri hapo juu, kwa hio ni kazi yoyote ile itakayokuwepo mbele yangu naifanya ili mradi tu nipate mahala pa kushinda kwani sijazoea kushinda bila kazi, nipo hapa kwa mpaka tarehe moja bila kazi kwa hio siwezi.
Baba Cv yako ni muhimu sana

Halafu,usiseme kazi yoyote upo tayari kuifanya,kwasababu,kukaa bila kazi,pia ni kazi
Kwann usitosheke tu kukaa bila ya kazi,wakati ni kipaji kwa wazawa wa jiji hili!!!
Muhimu,toa cv yako,kama unataka msaada

Namuomba Mola,akufanyie wepesi katika maisha yako ndg
 
Nimesomea udereva mkuu ila kwa sasa siwezi fanya kazi hiyo kwasababu leseni yangu imekwisha muda wake na sijarenew bado, kwa hio ndo hivo.
 
Baba Cv yako ni muhimu sana

Halafu,usiseme kazi yoyote upo tayari kuifanya,kwasababu,kukaa bila kazi,pia ni kazi
Kwann usitosheke tu kukaa bila ya kazi,wakati ni kipaji kwa wazawa wa jiji hili!!!
Muhimu,toa cv yako,kama unataka msaada

Namuomba Mola,akufanyie wepesi katika maisha yako ndg
Halafu ulivosema ni kipaji kushinda bila kazi aisee mi siwezi, kwa mtu mwingine anaweza kwasababu chumba cha kulala kipo, na ukitaka kula kazi yako ni kupika tu na kula lakini bado siwezi kukaa tu, napenda niushughulishe mwili.
 
Halafu ulivosema ni kipaji kishinda bila kazi aisee mi siwezi, kwa mtu mwingine anaweza kwasababu chumba cha kulala kipo, na ukitaka kula kazi yako ni kupika tu na kula lakini bado siwezi kukaa tu, napenda niushughulishe mwili.
Usijali mkuu wadau watakuja kukupa michongo! Mi nipo mkoani ungekuwepo huku ningekupa dili mkuu
 
Njoo kigoma mkuu tuvune mawese ukiwa unasubiri mwez ujao urudi zako dar
 
Kazi ninazo.
Kuuza barafu shule ya msingi mugabe, au vitafunio pale posta, au usafi wa hapa nyumbani.
Chagua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom