Wadau ninaomba ushauri: Binti wa Form 4 asomee nini kutoka haraka kiuchumi?

Bakyaitaki

Member
Apr 6, 2012
65
44
Wapendwa wasalaam.
Binti yangu aliyemaliza Form 4 na hakufanikiwa kuendelea na vidato. Ninaomba ushauri wa kozi kama ni ufundi au chochote ambacho kitampa ajira na kipato kwa haraka. Natanguliza shukrani.
 
Muulize kwanza yeye anapenda nini mkuu itasaidia sana.
Anaweza anasoma computer na English anapiga vizuri imkae mdomoni ni fursa pia. Akijumlisha na kichina itakuwa poa sana mana saivi wachina wanakuja nchini so wanahitaji wakalimani.
Anaweza anakafanya ustawi wa jamii kama ana vigezo na wewe una vigezo mkuu.
Kuna certificate ya Sheria pale saut Mwanza anaweza anakomaa nayo.
Anaweza akasoma community health pia hawezi lala njaa.
Kuna kozi ya wauguzi wa hospital wale wavao nguo kama za kijani.
Anaweza akajifunza foreign language like Germany, Spanish and Portuguese zinamtosha kumuweka mjini.
Anaweza akajifunza masuala ya Assistant surveyor kama ana vigezo pia kama anapenda pia.
Kama ana hulka ya kiume kikazi anaweza akajifunza udereva mkuu baadaye ukampeleka NIT ni Bonge la dili sana.
Anaweza anakasomea hata Ado wale wauzaji wa dawa pharmacy.
Anaweza akasomea ualimu wa watoto wadogo wale wa chekechekea mkuu.
Ama wewe ukamuajiri katika biashara yako ama ukamfungulia ukamwambia akomae akurudishie mtaji wako uliompatia.
Mkuu mambo ni mengi sana kikubwa ni nini yeye anapenda.

Binafsi nilipenda sana kuwa mfanyabiashara ila ndugu wakanishauri nisome na huku napenda kuwa tajiri mpaka Leo hii naona maisha yote sawa. Sio kuwa MTU akisoma ndo Hela ataipata kirahisi sana.kila Hela ni ngumu regardless umeipataje
 
Kuna veta huko wanafundisha :
1- mafundi ujenzi
2- mafundi magari
3- mafundi rangi wa nyumba
4- cherehani afu ukamfungulia garment mkuu.
Yaani mtafiti kwanza anapenda kufanya nini.
Maisha huwa yamo ama yanapatikana kwa kufanya unachokipenda mkuu ila sio cha kushauriwa. Ni sawa na mapenzi oa unayempenda ila siye aliyependwa na wazazi,marafiki,ndugu zako
 
Familia nyingi tujitahidi hata kwa kujaribu kuwa na biashara ya familia kama ufugaji, kijiduka, kijihoteli, au kibiashara chochote cha kumfanya mtoto kujishikiza wakati yeye na familia wakitafakari mustakabari wa huyo kijana kama kakosa fursa katika mfumo rasimi wa masomo na ajira. Vinginevyo atadakwa na udangaji, madawa, mahusiano ya kujazana mimba, n.k. Wengi wetu hatukuliangalia hilo wakati tunaanzisha familia.
 
Catering n cooking
Fashion and design
Midwifery
Nimetoa hizi zinaweza kumfanya ajiajiri kwa urahisi sana na kwa mtaji mdogo tu.
Wapendwa wasalaam.
Binti yangu aliyemaliza Form 4 na hakufanikiwa kuendelea na vidato. Ninaomba ushauri wa kozi kama ni ufundi au chochote ambacho kitampa ajira na kipato kwa haraka. Natanguliza shukrani.
 
Nawashukuru sana ingawa bado natafuta "quick win" moja ambayo akimaliza tu anatoka. Umenena vyema mkuu. Na ndiyo haswa lengo, sitaki akae ndani bila kufanya kitu. Hayo mengine ningependa yamkute akiwa kazini kwake ili hata likitokea aweze kumudu mwenyewe.
 
Mana wazazi ni wengi sana mkuu.
Hizi Huduma ndo zile akiwa anaenda kliniki mama mjamzito pia na akishajifungua mama anakuwa ni mzazi so hawa wanahusika na kuwapa Huduma mana bado wanaendelea na kliniki mkuu ama nipo nje
Wanahusika na kutoa huduma zote kwa wajawazito na wazazi kuna watu wengi tu wanahitaji hii huduma akijitangaza vizuri atazikimbia kazi
 
Muulize kwanza yeye anapenda nini mkuu itasaidia sana.
Anaweza anasoma computer na English anapiga vizuri imkae mdomoni ni fursa pia. Akijumlisha na kichina itakuwa poa sana mana saivi wachina wanakuja nchini so wanahitaji wakalimani.
Anaweza anakafanya ustawi wa jamii kama ana vigezo na wewe una vigezo mkuu.
Kuna certificate ya Sheria pale saut Mwanza anaweza anakomaa nayo.
Anaweza akasoma community health pia hawezi lala njaa.
Kuna kozi ya wauguzi wa hospital wale wavao nguo kama za kijani.
Anaweza akajifunza foreign language like Germany, Spanish and Portuguese zinamtosha kumuweka mjini.
Anaweza akajifunza masuala ya Assistant surveyor kama ana vigezo pia kama anapenda pia.
Kama ana hulka ya kiume kikazi anaweza akajifunza udereva mkuu baadaye ukampeleka NIT ni Bonge la dili sana.
Anaweza anakasomea hata Ado wale wauzaji wa dawa pharmacy.
Anaweza akasomea ualimu wa watoto wadogo wale wa chekechekea mkuu.
Ama wewe ukamuajiri katika biashara yako ama ukamfungulia ukamwambia akomae akurudishie mtaji wako uliompatia.
Mkuu mambo ni mengi sana kikubwa ni nini yeye anapenda.

Binafsi nilipenda sana kuwa mfanyabiashara ila ndugu wakanishauri nisome na huku napenda kuwa tajiri mpaka Leo hii naona maisha yote sawa. Sio kuwa MTU akisoma ndo Hela ataipata kirahisi sana.kila Hela ni ngumu regardless umeipataje
Mkuu Keisangora, nimependa hiyo foreign language. Unaweza kunisaidia chuo kinachotoa kozi hiyo?
 
Hakika wewe ni baharia wa ukweli, wengine naona tunanusa nusa ubaharia hapa.
 
Uko sawa hata zahanati zinaajiri waking pia
Mana wazazi ni wengi sana mkuu.
Hizi Huduma ndo zile akiwa anaenda kliniki mama mjamzito pia na akishajifungua mama anakuwa ni mzazi so hawa wanahusika na kuwapa Huduma mana bado wanaendelea na kliniki mkuu ama nipo nje
 
Wapendwa wasalaam.
Binti yangu aliyemaliza Form 4 na hakufanikiwa kuendelea na vidato. Ninaomba ushauri wa kozi kama ni ufundi au chochote ambacho kitampa ajira na kipato kwa haraka. Natanguliza shukrani.
Kamuulize anapenda kufanya nini. Msipende kulazimisha watoto wafanye mnavyopenda nyinyi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom