Wadau nimekuwa nijikiuliza Kila siku nikwanini penzi la wizi huwa nitamu kuliko hata landani ya ndowa?

Ontama

Senior Member
Jul 24, 2019
136
96
Wadau mapenzi nimatamu ila penzi la wizi nitamu kuliko, Tena hakuna papuchi tamu Kama ya mke wamtu, najiuliza tu hivi namkeo angekuwa nimtamu Kama penzi la wizi unadhani michepuko ingetoka wapi, hata mimi ningetamani kuoa ila kwa Sasa acha nifaidi
 
hakuna cha tam wala ni nini ni kwamba hujaizoea kama ya mkeo ila siku ukizoea ukionja nyingine utasma hivo hivo...lakini kumbuka kuwa huenda naye mkeo huwa anakamuliwa na yeye anashanaa hivi hivi kama wewe kwamba mbona mchepuko mtamu
 
Unajua the law of demand and supply?..
Mnakua mnaona ni zuri kwa kua tu mna mda mchache sana wa kua pamoja

Mkipewa mda mf..mmoja akiachika hilo penzi ni nadra kufanikiwa ktk mazingira ya mda mwingi pamoja
Kwahiyo unakubaliana na mimi kuwa penzi la wizi nitamu isipokuwa halina uhai wa kudumu
 
Wadau mapenzi nimatamu ila penzi la wizi nitamu kuliko, Tena hakuna papuchi tamu Kama ya mke wamtu, najiuliza tu hivi namkeo angekuwa nimtamu Kama penzi la wizi unadhani michepuko ingetoka wapi, hata mimi ningetamani kuoa ila kwa Sasa acha nifaidi
La ndani ya ndowa linakuwa si tamu kwa vile shetani anakuwa mbali nawe.
 
Wadau mapenzi nimatamu ila penzi la wizi nitamu kuliko, Tena hakuna papuchi tamu Kama ya mke wamtu, najiuliza tu hivi namkeo angekuwa nimtamu Kama penzi la wizi unadhani michepuko ingetoka wapi, hata mimi ningetamani kuoa ila kwa Sasa acha nifaidi
penzi la wizi kama tamu basi kumbuka ya kuwa ndio maana mwenzio kaolewa ndio maana unasifia utamu wake.

siku zote vitu ambavyo hutumii nguvu kuvipata pale unapovipata vinanoga sana. mfano pesa ya wizi hujatumia nguvu basi inanoga kuitumiaa, chakula cha wizi kinanoga sana
 
Hayo mahaba ya nje ya ndoa huwezi ita penzi, hizo huwa ni nyegezi mshindo tu...
 
Hahah si la kuvizia, mie kuna mtoto mmoja wa Depot napochukulia vinywaji ni chotara ya kalasinga na mmbongo ananijia vizuri sana, nataka nipite nae..kibaharia tu! 😆😆😆 ni mzuri af design kaelewa kali.
 
Unajua the law of demand and supply?..
Mnakua mnaona ni zuri kwa kua tu mna mda mchache sana wa kua pamoja
Mkipewa mda mf..mmoja akiachika hilo penzi ni nadra kufanikiwa ktk mazingira ya mda mwingi pamoja
nikumbushe vizur mean commerce the law the price,the high quantt are bought
 
Back
Top Bottom