chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
mwisho wa mwezi mwisho wa mwwzi una raha mama eeh
mwisho wa mwezi ukifika una raha ya pekee
utaona watu wengi wana nyuso za furaha eeh
kwavile wana pesa pesa eeh
ukifika mjini iiih! ama kweli utashangaa
watu wanavyopisha kutafuta mahitaji
watu wanavyopishana kutafuta mahitaji
kwa wale wafanyakazi wa viwanda na maofisini ni raha eeh
mwisho wa mwezi una raha eeeh
ama kweli ni furaha tu ni furaha.