Wadau niko kwenye wakati mgumu natafuta hata kibarua

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
291
477
Ndugu wakubwa kwa wadogo heshima kwenu

Naomba msaada wenu wa kazi nimejaribu connections zote nimefeli, nipo nipo tu
Nisaidieni nipate hat kibarua

Nimeishia form6, ninauzoefu mzuri tu kweny Computer hasa Microsoft office word, excel na power point na program mbali mbali
Napatikana Magomeni hapa Dar es salaam kwa ndugu
Umri wangu ni miaka 24

Msaada wenu tafadhali
MUNGU AWABARIKI
 
kajiunge freelancer utapata kazi za kutumia excel had utachoka , cha muhim uwe na kompyuta na webcam bila kusahau paypal , utapata pesa nzur sana japo kaz sio lain
 
kajiunge freelancer utapata kazi za kutumia excel had utachoka , cha muhim uwe na kompyuta na webcam bila kusahau paypal , utapata pesa nzur sana japo kaz sio lain

Kiongoz heb nipe muongozo kidog naanzia wap labda na wap hapo niende chap
 
Kiongoz heb nipe muongozo kidog naanzia wap labda na wap hapo niende chap
nenda google andika freelancer jobs, ingia link ya kwanza , unaweza kudownload app yao vilevile , utafanya kaz online mara nyng huwa ni za kuandika meaning typewriting, au copy and paste, ila usitegmee kama ni rahis mzee , unaweza kuambiwa ucopy and paste picha 2500 kuweka kwenye website kwa 20$
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom