Wadau ni Ufisadi gani mkubwa uliowahi kutokea Tanzania?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wadau nimekuwa nasikia mafisadi mafisadi .Ninaomba kujua no ufisadi gani Mkubwa uliowahi kutokea Tanzania? Naomba Kwa anayejua.
 
Heeee!!! Huna habari? Daimondi kumchukua zary na kumwache wema
 
mm sijui ufisadi mkubwa zaidi niupi lakini niliwahi skia kunajamaa aliwahi piga mpunga mwingi enzi mwalimu akiwabado raisi, sijui jamaa alikua anaitwa nani bt niliambiwa alikua mwenyeji wa Mara,
Baada ya kugundua mr.prezoo amesanda jamaa akakimbia, bt naskia alirudi badae eti baada ya mwalimu kufariki

btw nadhani kuna haja ya serikali kuainatunza rekodi kama hzi am sure siku za usoni zitakua na manufaa makubwa.
 
Mkuu mie kashfa ya Escrow naipa uzito mkubwa kwani mpaka Leo kuna wezi tunawajuwa tunashindwa hata kutamka pia mpaka maaskofu ni balaa
 
Back
Top Bottom