imetumika TZ zaidi ya mwaka hio.Hata yeye ana show room si umeiona hapo ilipo?
Asilimia 75+ gari zilizo yadi zimetumika,watu wakitumia muda mfupi halafu wakalamba mzigo huwa wanarudi yadi kuvunja,wanafanya top up,gari inaoshwa unasubiriwa wewe.imetumika TZ zaidi ya mwaka hio.
ukinunua gari yenye namba utakuwa umetaka mwenyeweAsilimia 75+ gari zilizo yadi zimetumika,watu wakitumia muda mfupi halafu wakalamba mzigo huwa wanarudi......nyuma,wanakuambia si unajua pale port lazima ulipie kila kitu,so imekaa japa haijatumika ilanimeingia mwakajana
Kama ni mzoefu huwezi kufanyiwa hivyo.Asilimia 75+ gari zilizo yadi zimetumika,watu wakitumia muda mfupi halafu wakalamba mzigo huwa wanarudi yadi kuvunja,wanafanya top up,gari inaoshwa unasubiriwa wewe.
Ukishalipia unaona namba ya nyuma,wanakuambia si unajua pale port lazima ulipie kila kitu,so imekaa japa haijatumika ilanimeingia mwakajana
Exactly....ndio maana nimemwambia kama mzoefu huwezi kufanyiwa hivyo.ukinunua gari yenye namba utakuwa umetaka mwenyewe
Mkuu ni Noha au Noah?
kwa hiyo huyo anaeuza unamfahamu au ndio wewe kupitia akaunti yako nyingine??Asilimia 75+ gari zilizo yadi zimetumika,watu wakitumia muda mfupi halafu wakalamba mzigo huwa wanarudi yadi kuvunja,wanafanya top up,gari inaoshwa unasubiriwa wewe.
Ukishalipia unaona namba ya nyuma,wanakuambia si unajua pale port lazima ulipie kila kitu,so imekaa japa haijatumika ilanimeingia mwakajana
ila unaonekana unaijua gari yake sanamkuu,huyo ni mwanajamii na si mgemi sana kaka
Ha ha ha,bira wewe nakujua ila huyo hapanaila unaonekana unaijua gari yake sana
Mkuu ni Noha au Noah?
Hiii kwa bei ya juu kbsa mkuu ni 8m