Wadau nauliza hivi kuna nchi nyingine ambayo binadamu anafanyiwa recyling kama chupa za plastic za maji kama hapa kwetu?

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
I mean chupa ya plastic ya maji ikishatumika na pengine bondeka bondeka inatupwa jalalani, then inawezaokotwa ikapelekwa tena kiwandani tunapata tena new superb bottle. Je, binadamu pia inawezekana?
 
I mean chupa ya plastic ya maji ikishatumika na pengine bondeka bondeka inatupwa jalalani, then inawezaokotwa ikapelekwa tena kiwandani tunapata tena new superb bottle. Je, binadamu pia inawezekana?
Kama mtu hajui kinachoendelea kuhusu uteuzi unadhani atakuelewa? Unapotoa mada hakikisha unatoa briefing ili ueleleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom