Son Of Light
Member
- Aug 12, 2019
- 40
- 10
Matokeo yangu ya kidato cha nne yalikua hivi
Bios: b,
Chem: c,
Geo: e,
Kisw: b
Hist: c,
Phy: f,
Math: f,
Civ: d
Eng: d
Plan yangu mimi ni kusoma masomo ya sayansi lakini kama unavyoona hapo phy na math nimeanguka. Mwaka nipo katika mchakato wa kurudia mtihani nisafishe cheti ninacho jiuliza na kinacho niumiza akili je nirudie masomo yote au hayo tu niliyofeli hasa phy na math? Na nikirudia yote ikatotokea hizo zangu za bio na chem nikazipoteza nitakua nimefanya nini sasa! Embu nisaidieni mdogo enu hapo kimawazo
Lengo langu mi nikusoma masomo ya sayansi nikiukosa u-doctor atleast nipate hata clinical officer.
Asanteni