Wadau naombeni tujadili fursa ya kilimo cha Kokoa

uwi naapload picha zaidi ya dk 10 nw na shindwa !hhili zao linalimwa sana mbeya !njia ya kwenda matema huko..na huko mbingu ifakara !mti mmoja haukomai kwa wakat mmoja !i mean mti mmoja unaweza beba matunda 13 yatakayovunwa yaweza kuwa 3!bei kwasasa zimeshuka !hakuna bei ya 2000/!mara ya mwisho tumeuza kwa kilo 1200/!
kiukweli lina pesa !waweza vuna had kilo 100!
mimi natafuta mbegu ya hii kakao na mti wa mpira kwa walio tanga huko nasikia kuna mashamba ya serkal ila sijui yapo sehem gan hasa...
 
mimi natafuta mbegu ya hii kakao na mti wa mpira kwa walio tanga huko nasikia kuna mashamba ya serkal ila sijui yapo sehem gan hasa...
Tanga kokoa zipo mkuu ila zinabeba matunda mengi tofauti na vile mkuu wa awali alisema pia kwenye mti mmoja unaweza vuna matunda hata kumi kwa wakati mmoja mie niliwahi shiriki kidogo katika uvunaji japo sikupata fursa ya kulijua kiundani hilo zao ila soko walidai lipo kenya na walisema 1kg ilikuwa 3000Tshs, kule mazao karibu yote yanamea vzuri tuu maana udongo ni mzuri na mvua ni nyingi
 
nawezaje kupata mbegu ya hili zao mkuu... msaada tafadhari
 
kokoa ndo kiswahili kakao nadhani ni mbwembwe tuu
Kakao ikiwa bado haijatengenezwa na Kokoa ni baada ya kutengenezwa.

kwa kingereza wanaita CACAO na COCOA.

Ni kama vile Buni ikiwa bado haijatengenezwa ila ikitengenezwa inaitwa Kahawa.
 
Back
Top Bottom