Wadau naombeni kufahamu, hivi NHC hujenga nyumba hasa kwa ajili ya kuchikuchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau naombeni kufahamu, hivi NHC hujenga nyumba hasa kwa ajili ya kuchikuchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kichenchele, Jul 2, 2010.

 1. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 490
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Naombeni ufafanusi
   
 2. M

  MJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Lengo siyo hilo ila kuchi kuchi ni wajanja sana. Tatizo watanzania wengi tunaangalia extrisic value badala ya intrinsic value. Ukiambiwa upange nyumba ya Tshs. 400,000 mitaa fulani wanayokaa kuchikuchi mathalani utalalama na kwenda kupanga ya Tshs. 200,000 kuleeeeeee! Lakini ukifanya mahesabu yako vizuri hiyo ya Tshs. 400,000 itakuwa cheap. Utapambana na foleni,kuamka usiku, kufika home usiku hata watoto hawakuoni nk. halafu nyumba vyumba vitatu unaweza kuwa unakaa wewe na mkeo na mtoto mmoja au wawili wakati kuchikuchi full kushonana. Ni suala la uelewa zaidi kwa sababu hata hawa wanawahamisha kina yakhe kwenye nyumba hizi
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hapana Mkuu. wabongo wengi wanazitaka sana hizo nyumba za NHC lakini tatizo kuna urasimu mno.
  Na ndio maana wanaozipata ni wahindi ambao wapo radhi wahonge mapesa mengi kuliko wabongo ambao wengi wana mkono wa birika kutokana na hali halisi ya kiuchumi.
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Kwa nini mnakwepesha ulimi??? Semeni wazi wahindi wanapata nyumba za NHC kirahisi kwa sababu ni watoaji wa rushwa mashuhuri duniani. Ninawajua sana wahindi nimekaa nao wao rushwa ni kama kupiga mswaki kila siku asubuhi na ndio wametuharibia nchi ukizingatiakwamba hatuna sheria kama za uchina, na hata kama tukiweka sheria zile hazitatekelezwa kwa sababu wanansheria wetu na majaji, mahakimu wote wamekwisha oza kwa rushwa.
   
Loading...