Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Peaceforever

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,743
1,776
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
 
Mkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
 
Kama ningekuwa mimi ninazo hizo hela na kuna watu wanne wananitegemea ningefanya hivi..

Nafungua mabanda ya Minada kila mnada kwa Minada isiyopungua mitano. Minada ni sehemu ambako wanauza bidhaa tofauti tofauti ambazo mwananchi wa kawaida anapata unafuu wa bei.

Nguo
Bidhaa za urembo
Vyakula/sukuma wiki
Vyombo
Biashara ya CD
N.k.

Vibanda gharama yake haiwezi kuzidi elfu 40 hadi 70 kila moja!
Halafu kila mnada unaupa mtaji wa milioni mbili mbili..
Nunua bidhaa za kila aina au unaweza kuweka bidhaa za aina moja ila ukasambaza meza, kwamba mteja asipokuja kwako ataenda kwa mwingine kumbe naye ni wewe vile vile...
Ndani ya mwaka mmoja utapata matokeo chanya saana. Maana hulipi kodi ya frem wala nini. Ni nguvu zako na kulipia ushuru wa mnada tu wa sh 500 kama sikosei.
Itakulipa.

Binafsi nimekosa mtaji tu, ila I wish to do this kind of business. Nimeifuatilia na kufuatilia wanaoifanya nimeona inalipa kwa kiasi kikubwa.. yaani uwezekano wa kupata faida ni mkubwa kuliko hasara. japo hasara huwa zipo katika Biashara, ila kwa huku sio za kukuumiza kichwa kiivo.

Minada ipo mingi Dsm... Ni kutafuta location nzuri tu inayoendeka kwa urahisi....
If you're interested,just do it Sir.
 
Umedadavua vizuri mkuu itabidi nifanyie kautafiti kdg maana sina uzoefu nao.
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
Fanya bishara ya mazao,italipa haraka. Haina mkopo.
 
Mkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
Hahahhahaha umetisha mkuu
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua uliyochukua kwa kutaka kujiajiri.
Nakushauri chukua muda kujifunza biashara unayoipenda usiingie kwenye biashara fulani kwasababu ina faida kubwa au umeona watu wakifanikiwa sana kwa biashara hiyo.Kumbuka kila biashara ina Changamoto zake Hakuna ukufanikiwa ki rahisi usidanganyike biashara fulani ni rahisi na inalipa.Biashara zote zinalipa vizuri ila zinachangamoto zake usipokuwa mvumilivu utashindwa.Nasisitiza tumia muda wako kufanya utafiti Kabla hujaanzisha biashara yeyote
 
Biashara nzur ambayo mm inanitoa ...ni kuuza kuni znafaida maradufu ...mfano ukileta mzgo wa million mbili ...znakuwa kuni 3100 .....huku kuni n buku ukiuza utapata million tatu ...faida million mbili kwa wiki mbili had tatu ..itategemea sehem ulipo znsweza zikaisha kabla ya mda huo .........inalipa vizur ....mm nna vibal toka maliasili ...ukiwa interested nchek tubadilishane mawazo ...0685580057
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua uliyochukua kwa kutaka kujiajiri.
Nakushauri chukua muda kujifunza biashara unayoipenda usiingie kwenye biashara fulani kwasababu ina faida kubwa au umeona watu wakifanikiwa sana kwa biashara hiyo.Kumbuka kila biashara ina Changamoto zake Hakuna ukufanikiwa ki rahisi usidanganyike biashara fulani ni rahisi na inalipa.Biashara zote zinalipa vizuri ila zinachangamoto zake usipokuwa mvumilivu utashindwa.Nasisitiza tumia muda wako kufanya utafiti Kabla hujaanzisha biashara yeyote

asante sn kwa mawazo yako yanayojenga mkuu
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
Fungua biashara ya chakula kwa dar tafuta frem
 
Back
Top Bottom