The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,906
- 2,885
matukio makubwa aliyowahi kufanya ktk kipindi cha miaka 8 ya uwaziri mkuu wake mi nakumbuka mawili tu 1 alionyesha kuhuzunishwa sana na mauaji ya albino kiasi kwamba alimwaga machozi 2 alikerwa sana na fujo za wapinzani kiasi cha kuagiza wapigwe tu maana hakuna namna