Wadau naomba msaada kueleweshwa kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA

Brown Tz

Member
Mar 31, 2017
20
5
Habari wadau wa JF, naomba kuchapisha Uzi huu hivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa VETA ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga diploma naomba msaada wenu wadau
 
Habari wadau wa jf naomba kuchapisha Uzi huu ivi kozi ya motor vehicle mechanics inayotolewa veta ni kozi inayohusu mambo gani na unaweza kujiendeleza baada ya kumaliza kozi hyo na kujiunga diploma naomba msaada wenu wadau
Ufundi wa magari,pikipiki nk ukimaliza hapo veta ukagraduate utakuwa na NTA LEVEL 3, ukipass utaruhusiwa kujiunga na NTA LEVEL 4....unaweza soma ordinary diploma in mechanical engineering
 
Ufundi wa magari,pikipiki nk ukimaliza hapo veta ukagraduate utakuwa na NTA LEVEL 3, ukipass utaruhusiwa kujiunga na NTA LEVEL 4....unaweza soma ordinary diploma in mechanical engineering
Asante sana mkuu mfano mm form 4 nilikuwa arts subject pia naweza ku apply diploma
 
Asante sana mkuu mfano mm form 4 nilikuwa arts subject pia naweza ku apply diploma
Kwa saiv mifumo inavobadilika hakuna anaeweza kutoa jibu

Kwa mfano mwaka huu wanafunzi walotokea diploma na kuomba degree za engineering na hawakuwa na pass za phyz n math karibu wote wamepigwa mtama wanahaha tu huko majumbani kwao
 
Back
Top Bottom