wadau naomba msaada am a graduate in environmental sciences and management natafuta job

soledad

Senior Member
Sep 17, 2011
110
29
jamani naomba kama mnafahamu popote panapohusika na mambo ya uhifadhi wa mazingira mnisaidie nimetafuta lakini bado wapendwa it's almost a year now. najua environmental impact assessment, yn am competent in my professional ila ndo cjapata job nimefanya internship nyingi nime volunteer but i need a job. naomba mnielekeze cjui niende waoi naona hii professional haina kazi kabisa
 
Omba za Consultancy kama kweli unajua ulichosomea
 
M2 wangu unapokuwa unasoma angalia sana what your society need the most co unasoma 2 mi course ambayo ukimaliza unakaa street mpka wana kuchoka. Kama vp kafundishe part time utapata 2.
 
Angalia namna ya kujiajiri kwani uchumi huu uliovurugwa na JK kwa fani yako kazi ni either serikalini au NGO na kwa hali ilivyo utasubiri sana tu. Private sector ndio hivyo tena labda ukawe bank teller.
 
Back
Top Bottom