Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba

Pitz

Member
Feb 11, 2015
6
1
Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.
 
umeona wapi hiyo mkuu
 
Mkuu kuwa makini hiyo kitu sijuwi kama ipo kweli.Kwani we umeipata wapi labda.
 
Unatoa pesa ili upate pesa,sasa hapo unakopeshwa au unanunua mkopo?.Kifupi ukikubali utakuwa umeshatapeliwa.Ni utapeli huo
 
Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.
inawezekana inakua policy ya microfinance maana hio hela unayo i deposit inakua kama dhamana ya mkopo wako kwaio wanakikundi wote mnachangia then yule atakae kuja ku default mnakatwa incase mikopo ikiwa mnamalizia na mtu akazingua ni sahihi, sema iende kwenye right way mist ya dhamana kwenye vikoba ni hio compulsory deposit na kujuana member hawana mambo ya kusema leta hati ya nyumba , au gari
 
Kwa mfumo wa vicoba niujuao mimi, wa kukopeshwa kulingana na hisa zako ulizopanda, hiyo unayosema siyo vikoba..
 
Wadau, naomba kuuliza kuhusu hii mikopo ya vicoba ambayo unatakiwa utume laki ili upate mkopo wa millioni 1, au laki 2 upate millioni 2 etc etc. Naomba msaada kujua kama kweli ni mradi halali.
Natanguliza shukrani zangu.
Mkuu nishaelewa watu unaowazungumzia.
Kwa kifupi wale ni matapeli huwa hakuna mikopo ya namna hiyo.
Tena walivyo wajanja hupenda kutumia majina ya viongozi kama Zitto kabwe,Jokate mwegelo,Jakaya kikwete na mengineyo ili kuwarubuni watu.
Yaani hao hawana tofauti na wale wanaosemaga ile hela tuma kwenye namba hii.
Ukituma tu ndio huwapati tena.
 
Back
Top Bottom