Wadau naomba kujua ni wapi hapa Daslam wanatengeneza Bomba frem ya canter

kisumbusi

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
390
415
Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter
 
Nenda gerezani Kariakoo hapa kuna wakulungwa wako vizuri Sana na hizo ishu...
Piga picha gari alafu nenda kapatane nao kwanza bei
 
nenda tabata dampo wale ndio kiboko hapa mjini kuunda mabody kwa bei nzuri kabisa. Canter yangu nimechongea bodi uko
 
Tabata Dampo hawana Mpinzani kwenye Kuunda na kufanya modification ya magari ya Mizigo, tena kwa bei rafiiiiiki
 
Back
Top Bottom