Wadau naomba kujua kuhusu huyu Nabii Frank.

Rhobi1961

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
888
681
Kuna mda nilikuwa naangalia mpira kati ya Nigeria na Tanzania sasa wakati tumefungwa nikabadili chanel katika kubadili kule nikakutana na chanel inaitwa Shiloh TV, kuna mtu anaitwa Nabii Frank.

Nachotaka kujua ni kweli huyu Nabii anafanya yanayompendeza Mungu au ni nyakati za mwisho?? Na kama ni kweli anapatikana wapi hapa Tanzania.

Asante.
 
Ndio anafanya yanayompendeza Mungu na kila mtu anajua ni nyakati za mwisho,
Anapatikana tanga ilipo makao makuu ya SHILOH INTERNATIONAL MINISTRY

unaswali jingine nikujibu?
 
Kama si msomaji Biblia hutoweza tambua kama ni mkweli au lah!!

Kila lenye kheri katika utafiti wako...

Ila watakujawengine kukusaidia...
 
Ndio anafanya yanayompendeza Mungu na kila mtu anajua ni nyakati za mwisho,
Anapatikana tanga ilipo makao makuu ya SHILOH INTERNATIONAL MINISTRY

unaswali jingine nikujibu?
Safi sana mtu wa Mungu hapo alikuwa anatafuta kuibua mjadala ili watu waseme maovu,
Mm simjui Nabii Frank lkn umemjibu vema hatouliza tena.
 
Ubarikiwe sana ndugu,,
tatizo watu wamezidi, wanawasakama watumishi wa Mungu yaani utafikiri kuna mtu anawalazimisha kuangalia tv au kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano yao
 
Ndio anafanya yanayompendeza Mungu na kila mtu anajua ni nyakati za mwisho,
Anapatikana tanga ilipo makao makuu ya SHILOH INTERNATIONAL MINISTRY

unaswali jingine nikujibu?
Maboresho,... Pale yalipokuwa makao makuu kafunga. Kama unajua kahamia wapi tujuze.
 
Kwa hii wiki yupo Dodoma anaendesha Mkutano Nabii Frank.
Nasikia watu wamejazana kweli,kuna foleni ya maombezi kuna ndugu yangu mmoja toka juzi eti bado anasubiri kuombewa na Nabii
 
WAJINGA HAWATOISHA LABDA BAHARI IKAUKE....

WAJINGAA NJOONI WAJANJAA WAPIGW HELAA

OVA
 
Ubarikiwe sana ndugu,,
tatizo watu wamezidi, wanawasakama watumishi wa Mungu yaani utafikiri kuna mtu anawalazimisha kuangalia tv au kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano yao
sikuwa na nia mbaya mkuu, ila kuna vitu nimeona amefanya aisee kitu kama kuponya HIV kidogo imenitisha.
 
Kwa hii wiki yupo Dodoma anaendesha Mkutano Nabii Frank.
Nasikia watu wamejazana kweli,kuna foleni ya maombezi kuna ndugu yangu mmoja toka juzi eti bado anasubiri kuombewa na Nabii
Muombee apone mkuu ndugu yako, nimeona amefanya vitu ambavyo huwezi amini!!
 
Back
Top Bottom