Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

Yan mkuu tunashukuru KWa elimu yako mana inaonekana gari za mkaburu ziko chin

Sisi tunataka connection za uwakika zisizo za magumashi, mfano makampuni Kam be forward ambayo unaweza Lipia gari na ikafika
Nilivyoelewa hashauri zaidi kuagiza watu au mtandaoni bora uende mwenyewe. Shida ya uhalifu wa mtandaoni ni kubwa na kuaminika kwa watu tokana na ushawishi wa pesa.
 
Yan mkuu tunashukuru KWa elimu yako mana inaonekana gari za mkaburu ziko chin

Sisi tunataka connection za uwakika zisizo za magumashi, mfano makampuni Kam be forward ambayo unaweza Lipia gari na ikafika
Mimi sishauri ununue mtandaoni kama Japan ukiweza tafuta connection ya uhakika ili ununue gari unaweza hata kulipakia matruck yapo mengi tuu hapo Kerk kwa gari ndogo hawana gharama mitandao ya SA imevamiwa sana na wezi wa mtandao na Serikali yao haipo makini kwenye hizo frauds ila ukiweza kununua hata mara moja zingine unaweza kulipia hata ukiwa Tanzania mimi mwenyewe siwezi kuunganisha mtu maana sitaki kuwa sehemu ya kufatilia pesa ila makampuni ya ma truck Scania,Mercedes na mengineyo hayo yapo ambayo wapo vizuri na mtu unaweza kumpa namba ya sales wao ila sio haya magari madogo ambayo kila kukicha sales wanabadilishwa...
 
Hilo Hilux la kaburu naona kama lipo mitaa ya Afrika Sana kona ya barabara ya Shekilango na ile ya kuelekea mwenge. Gari nzuri sana.

1 Mkuu Isanga family gari kama hiyo yaweza kuwa toleo la mwaka gani (Year of Made).

2. Mtu akinunua gari SA na kuamua kuendesha mpaka Dar yapata siku ngapi njiani kufika akiendesha mchana pekee ya saa 11.

3. Kuna tisho lolote la usalama mfano akipita njia ya Zimbabwe to Zambia au Botswana to Zambia.

4. Ipi ni njia rahisi na salama zaidi kati ya hizo.

5. Garama za kupakia na kutembea mwenyewe ni ipi yenye unafuu katika gharama kifedha.

Asante
 
Hilo Hilux la kaburu naona kama lipo mitaa ya Afrika Sana kona ya barabara ya Shekilango na ile ya kuelekea mwenge. Gari nzuri sana.

1 Mkuu Isanga family gari kama hiyo yaweza kuwa toleo la mwaka gani (Year of Made).

2. Mtu akinunua gari SA na kuamua kuendesha mpaka Dar yapata siku ngapi njiani kufika akiendesha mchana pekee ya saa 11.

3. Kuna tisho lolote la usalama mfano akipita njia ya Zimbabwe to Zambia au Botswana to Zambia.

4.
Hiyo ni Ford Raptor toleo jipya kwa Ranger ni ya 2021 kodi yake ni kati ya 34m mpaka 45m..
SA kama hilo ni rand 600,000 mpaka rand 700,000
Kuendesha ni gharama nafuu unatumia Botswana,Zambia,Malawi Tanzania kwa nini unapitia Malawi kwa sababu bara bara ya Kapirimposhi mpaka Nakonde kutokea mpika ni mbovu sana bora uchepuke huko Chipata uitafute Malawi ukitokea Lusaka unakuja kutokea hapo kasumulu..
Unatoka mchana SA na unafika jioni mpaka wa botswana na pia ukitumia maasaa 11 unalala hotel unaamka fresh ni siku tatu tuu umefika mpakani ila usipite Zimbabwe wasumbufu sana kwa rushwa huko kwingine hakuna usumbufu wowote...kuwa na amani tu Watanzania wapo wengi bara barani na ma truck na wengine magari madogo...
 
Hiyo ni Ford Raptor toleo jipya kwa Ranger ni ya 2021 kodi yake ni kati ya 34m mpaka 45m..
SA kama hilo ni rand 600,000 mpaka rand 700,000
Kuendesha ni gharama nafuu unatumia Botswana,Zambia,Malawi Tanzania kwa nini unapitia Malawi kwa sababu bara bara ya Kapirimposhi mpaka Nakonde kutokea mpika ni mbovu sana bora uchepuke huko Malawi ukitokea Lusaka unakuja kutokea hapo kasumulu..

☝️💯🙏🙏
Asante mkuu kwa kusambaza upendo
 
Mkuu Isanga family unaofisi ya magari hapo south africa? Nimependa gari za south kam toyota hilux ni nyingi sana alafu bei nzuri natamani sana kwenda huko ila nakosa pa kuanzia.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Karibu Mkuu ofisi nilifunga baada ya Corona ila nategemea kufungua huko Tanzania,Arusha maana nina wateja wengi wa Kenya wao wanazingatia sana miaka kwa SA kupata gari hazisumbui nyingi zipo sokoni na zingine zinapigwa na Vumbi tuu...hata ukitaka kuja kujifunza kwa kutembea naweza kukupa address ya hotel za Forsburg ndio salama sana na nzuri na bei ya kawaida tuu maana mimi nipo busy na kuleta bidhaa huko...ila ukitaka twende na ratiba yangu sawa pia karibu
 
Safi Sana mkuu Kwa kuonyesha moyo wa kizalendo Kwa kutokuwa mchoyo wa fulsa za huko

Hakika mungu atakubariki kwenye kazi zako
 
Mungu ni mwema kwa kweli...
Ushuru kwa gari za south unapunguzo ndogo mfano, toyota fortuner ( petrol )ya 2007 kodi 24 mil. , za 2010 ni 29 mil . Huku za japan toyota fortuner hiyo ya 2007(petrol) kodi 26mil sasa kwa upande wa toyota hilux za south tra hawaoneshi, bora kuulizia tra kabla ya kwenda kununua south. Barikiwe sana Ndugu, ntakucheck mipango ikikaa vizuri.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Ushuru kwa gari za south unapunguzo ndogo mfano, toyota fortuner ( petrol )ya 2007 kodi 24 mil. , za 2010 ni 29 mil . Huku za japan toyota fortuner hiyo ya 2007(petrol) kodi 26mil sasa kwa upande wa toyota hilux za south tra hawaoneshi, bora kuulizia tra kabla ya kwenda kununua south. Barikiwe sana Ndugu, ntakucheck mipango ikikaa vizuri.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Una punguzo kubwa sana inachotakiwa uwe na karatasi ya Export wanatoa Sunnyside hapo,Gari inaweza kuwa made ya SA ila ikifeli baadhi ya document utalipia kama ya Japan na hilo ndio wengi limewakumba ila ukifata taratibu zote pana punguzo kubwa ukitaka kujua hilo nenda kwa ma agent wanaouza garo mpya kutoka SA iwe Toyota au Ford wakupe mchangunuo wa kodi kwenye hiyo gari watu wengi wanaweka password ili aonekane kalipa kodi ya Japan inakua faida kwake wakati kapata punguzo kubwa..
 
Hiyo ni Ford Raptor toleo jipya kwa Ranger ni ya 2021 kodi yake ni kati ya 34m mpaka 45m..
SA kama hilo ni rand 600,000 mpaka rand 700,000
Kuendesha ni gharama nafuu unatumia Botswana,Zambia,Malawi Tanzania kwa nini unapitia Malawi kwa sababu bara bara ya Kapirimposhi mpaka Nakonde kutokea mpika ni mbovu sana bora uchepuke huko Malawi ukitokea Lusaka unakuja kutokea hapo kasumulu..
Unatoka mchana SA na unafika jioni mpaka wa botswana na pia ukitumia maasaa 11 unalala hotel unaamka fresh ni siku tatu tuu umefika mpakani ila usipite Zimbabwe wasumbufu sana kwa rushwa huko kwingine hakuna usumbufu wowote...kuwa na amani tu Watanzania wapo wengi bara barani na ma truck na wengine magari madogo...
Hapa napata darasa la bure asante sana Isanga.
 
Una punguzo kubwa sana inachotakiwa uwe na karatasi ya Export wanatoa Sunnyside hapo,Gari inaweza kuwa made ya SA ila ikifeli baadhi ya document utalipia kama ya Japan na hilo ndio wengi limewakumba ila ukifata taratibu zote pana punguzo kubwa ukitaka kujua hilo nenda kwa ma agent wanaouza garo mpya kutoka SA iwe Toyota au Ford wakupe mchangunuo wa kodi kwenye hiyo gari watu wengi wanaweka password ili aonekane kalipa kodi ya Japan inakua faida kwake wakati kapata punguzo kubwa..
Mkuu shukrani sana, kukosa taarifa sahihi ni tatizo kubwa na hao TRA wako kimya hawayasemi haya kutoka elimu kwa wa Tanzania waagiza magari punguzo ka kodi kutokaana na SADEC hata hizo document muhimu haziwekwi wazi na hata hao ma Agent ili wawapige tu watanzania , natumai huu uzi umewafungua wengi, Shukrani sana, be blessed sana sana.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema kwa kweli...
Hivi Toyota fortuner hizi new model za kuanzia 2017 ambazo ni diesel, ni bei gani huko? Mpaka Tz bei yake? naziona kadhaa mjini zenye namba za SA. Hivi hizi zenye namba za SA ni kwamba zipo hapa zipo kwa muda tu sio?...
 
Karibu Mkuu ofisi nilifunga baada ya Corona ila nategemea kufungua huko Tanzania,Arusha maana nina wateja wengi wa Kenya wao wanazingatia sana miaka kwa SA kupata gari hazisumbui nyingi zipo sokoni na zingine zinapigwa na Vumbi tuu...hata ukitaka kuja kujifunza kwa kutembea naweza kukupa address ya hotel za Forsburg ndio salama sana na nzuri na bei ya kawaida tuu maana mimi nipo busy na kuleta bidhaa huko...ila ukitaka twende na ratiba yangu sawa pia karibu
Naweza pata contact yako
 
Una punguzo kubwa sana inachotakiwa uwe na karatasi ya Export wanatoa Sunnyside hapo,Gari inaweza kuwa made ya SA ila ikifeli baadhi ya document utalipia kama ya Japan na hilo ndio wengi limewakumba ila ukifata taratibu zote pana punguzo kubwa ukitaka kujua hilo nenda kwa ma agent wanaouza garo mpya kutoka SA iwe Toyota au Ford wakupe mchangunuo wa kodi kwenye hiyo gari watu wengi wanaweka password ili aonekane kalipa kodi ya Japan inakua faida kwake wakati kapata punguzo kubwa..
Maana naitaji bmw x3 ya mwaka 2014 or 15 ita garimu kiasi gani
 
Hivi Toyota fortuner hizi new model za kuanzia 2017 ambazo ni diesel, ni bei gani huko? Mpaka Tz bei yake? naziona kadhaa mjini zenye namba za SA. Hivi hizi zenye namba za SA ni kwamba zipo hapa zipo kwa muda tu sio?...
Hizo zinauzwa kuanzia rand 250 000 kuendelea mpaka rand 350,000 muda mwingi wauzaji wanakua na documents za SA kwa hiyo kuingia Tanzania wanatumia kama kuja kutembea unapewa miezi mitatu au sita unalipia unalipia hicho kibali na Bima mteja akifika bei yeye ndio anaenda kulipa kodi gari ikishakua ndani ya Nchi..ukitaka kununua gari yenye Reg ya SA ndani ya Tanzania nenda nae Police kitengo cha magari ya kutoka Nje wanalikagua hiyo karatasi utakayopewa utaitumia kuwapa TRA kwa ajili ya kulipia kodi wengine huko hawaendi hata kama gari sio la kona atapata usumbufu ila ukiwa mpakani utaonyesha documents za kutoka SA ili ulipie ukiwa ndani unaonyesha zile za SA na wao walikague gari ukiruka kimoja ndio mnasema Interpol wamekuja kumbe ni hao hao Polisi wa Tanzania wapo kwenye kazi hiyo...
 
Back
Top Bottom