Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

Hawa jamaa sijui wanapataje faida

Wanadai wanatoa 70% baada ya 4 month's, Halafu ukisubiri tena baada ya miezi 6 unapata 100% kama profit

Ukijumlisha hapo ni 170% faida kwa miezi 10 hiki ni kiasi kikubwa sana cha faida ukilinganisha na biashara yenyewe tena ya ufugaji kuku + Muda wa investment

Yaani mfano niwekeze million 10 ndani ya muda wa miezi 4 nitakuwa na million 17 nikiacha tena hiyo million 17 baada ya miezi 6 nitakuwa ninetengeneza million 34

Pia Instagram kule watu wanalalamika kuwa wana hide comment za baadhi ya watu, inaonekana kuna jambo hawataki kuliweka wazi.

Pia kwa experience yangu kwenye mambo kama haya wanaofaidika ni wale wanaowekeza mapema sana sana yaani sana kabla mambo hayajaharibika, ule muda ambao kampuni haijatengeneza faida kubwa ianze janja janja, ule muda kampuni inahangaika kutafuta watu unakuta wajanja wamewekeza wanakula faida.

Mpaka sasa Mr kuku ina miaka 3 na ukiangalia vizuri bado hawajapata faida kubwa ya kusema wakimbie ndio wako katika harakati za kupanua kampuni hii ni wazi kwamba wale waliowekeza miaka 2 nyuma bado wanapiga profit inaweza kuwachukua miaka 4 mbele mpaka kampuni kufirisika unaweza kuona jinsi gani profit watakayo tengeneza waliowahi kuiona fursa

Ukiona watu wamejaa sana ujue puto limejaa upepo linakaribia kupasuka huo muda ndio nyumbu unakuta wamejazana balaa wajanja wameshajitoa hapo ndio unasikia mara kampuni imefirisika wajanja wamekimbia na pesa.

Pia kwa wale watakao enda kuwekeza nawashauri someni mikataba vizuri maana wabongo wengi hawapendi kusoma pengine wengine hawajui umuhimu wa mikataba. Kunauwezekani mkubwa mikataba yao imejaa uhuni sana wa kulinda kampuni yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye masikio na asikie

Hivyo kuna uwezekano hawa jamaa ni wana mpango wa kuwapiga watizii sio? 😂😂😂

Ingeweza kuwa viable kama wangesema wana raise mtaji kiasi hiki, kwa ajili ya huo uzalishaji wa kuku. Na kuku wakiiva wauzwe watu wapewe fedha kama gawio.

Ila kwa kutoweka kikomo maana yake watapokea kila pesa watakayopewa, sasa wana facilities za unlimited production? Wana unlimited market? Are they assured kwamba uzalishaji utakuwa kama wanavyotaka?

Mwisho wa siku watakuwa wanawalipa watu gawio kutoka kwenye wanachopokea kutoka kwa watu, then wale wa mwisho ndo itakuwa faida yao jamaa, maana watakavyopotea!
 
Hivi vitu vyepesi na vya haraka haraka ndio mwisho wa siku hutuliza, hayo mafaida ya 70% halafu tena 100% hii maana yake huyo mwenye biashara yeye anapiga faida kubwa zaidi, sasa hiyo ni biashara gani kwa mazingira ya sasa?

Kwa nini isitumike mifumo rasmi ya kupata mitaji iliyopo ambayo iko wazi na inaeleweka kama mdau mmoja alivyogusia mfano kuuza hisa.

Umakini unahitajika na serikali isisubiri yatokee kama ya deci mapema mapema tu waingilie waweke mambo sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.

Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.

Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.

Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.

Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?

Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?

Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.

hawa majaa kama ontario vile !
yeye ndo mwenye pips za hao kuku yani ukiwekeza kwake yeye hata kupa faida .
kisheria na kichekesho ukisoma vizuri na alivojisajili kuna siku kwenye huo uwekezaji hatakuja kusema amepata hasara kubwa na kufunga.
mkienda mahakamani kesi hana shinda kwa kuwa swala la uwekezaji sio faida tu hata hasara hipo na lolote mtawajibika 🤣 .DSE inverstiment

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ingeweza kuwa viable kama wangesema wana raise mtaji kiasi hiki, kwa ajili ya huo uzalishaji wa kuku. Na kuku wakiiva wauzwe watu wapewe fedha kama gawio.

Ila kwa kutoweka kikomo maana yake watapokea kila pesa watakatopewa, sasa wana facilities za unlimited production? Wana unlimited market? Are they assured kwamba uzalishaji utakuwa kama wanavyotaka?

Mwisho wa siku watakuwa wanawalipa watu gawio kutoka kwenye wanachopokea kutoka kwa watu, then wale wa mwisho ndo itakuwa faida yao jamaa, maana watakavyopotea!
Hio kampuni nimefatilia inafanya chini ya kampuni ya mwarabu kama sio muhindi wa kuitwa somebody Tariq limited. Huyo ndio mkulungwa kwa hio hawa Mr.Kuku Limited ni boloka tu au bosheni ila mwenyewe yupo behind.

Nadhani kuna mchezo wa ki makaratasi umefanyika kwa baraka za wanasheria na mwisho wa siku yatakuwa yale yale ya jamaa kusepa na kiswaufu huku wawekezaji wakiwa hawaamini kilichowakuta. Kutumia public figure kama Joti ni kuwanyawisha tu raia ili waone kwamba kuna uhalisia.

Nimeingia maseke kuwa mwisho wa huu mchezo kuku watauzwa wote kisha mradi uta shut down ghafla. Zikianza court procedures kutakuwa na namna jamaa hawatakuwa hatiani kutokana na michezo ya kimkataba. The same as kijana wenu wa Jangid Plaza yule.
 
Achana na huo uwekezaji hela yako itakuja kupotea bure.
Kwa maelezo yao ni kwamba wata shut down kupokea wawekezaji ati by mid 2020 hapo. Sasa najiuliza ambao wameweka hela ndefu zaidi itakuwaje?
 
Hio kampuni nimefatilia inafanya chini ya kampuni ya mwarabu kama sio muhindi wa kuitwa somebody Tariq limited. Huyo ndio mkulungwa kwa hio hawa Mr.Kuku Limited ni boloka tu au bosheni ila mwenyewe yupo behind.

Nadhani kuna mchezo wa ki makaratasi umefanyika kwa baraka za wanasheria na mwisho wa siku yatakuwa yale yale ya jamaa kusepa na kiswaufu huku wawekezaji wakiwa hawaamini kilichowakuta. Kutumia public figure kama Joti ni kuwanyawisha tu raia ili waone kwamba kuna uhalisia.

Nimeingia maseke kuwa mwisho wa huu mchezo kuku watauzwa wote kisha mradi uta shut down ghafla. Zikianza court procedures kutakuwa na namna jamaa hawatakuwa hatiani kutokana na michezo ya kimkataba. The same as kijana wenu wa Jangid Plaza yule.

Yes, hii ndo inayoenda kutokea.
 
Back
Top Bottom