We nenda tu sawasawa na sheria za barabara na sheria za kuendesha gari basi. Acha gari iwe na natural acceleration usifosi, umepanda tutata upo 30 unakanyanga ndani ya mita 5 ufike speed 100
kwanza inaonekana aunauzoefu na safari ndefu, unachokakiwa kuhakikisha unafanya sheria zote za BARABARA, kuwa makini na vibao na michoro yote ya rod, kama umechoka pata muda wa kupumzika. kwenye speed tembea spedi uliyoizoea (60 mpaka100) ANGALIZO: usitembee na spid ambayo aujaizoea Kwan Gari Inaweza kukushinda na kusababisha ajali
Nilienda Iringa toka Dar kwa IST 1.3L nilitumia mafuta ya elfu 40 tu.
Nilichojifunza, uendeshaji unakula sana mafuta tusizingizie gari.
Vitu vya kufanya:
1. Kwanza funga madirisha washa AC acha uwoga.
2. Usiwe na vituo vingi. Kwa 2.0L may be pumzika after every 400km.
3. Acceleration iwe ndogo. Usiondoke kwa vurugu. Yaani acha gari ichanganyie taratibu.
4. Speed nenda 80 to 110kph. Ila kwenye vibao vya 50kph viheshimu. Speed chini ya 80 inakula mafuta na above 120 inabwia mafuta unless una LC V8 4.6L
5. Ila kikubwa ni kua na light-foot. Usiwe na mguu mzito. I mean usikanyage mafuta kama vita. Gusa tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.