Wadau, muwe mnanawa mikono kabla ya kuanza tendo

Ilishawahi kunitokea hii , nilikula pilipili wakati nanawa nafikiri haikuisha mikononi ile tunachezeana na demu nikamshika kwenye k , aliwashwa balaa sio kwa machozi yale na shughuli iliishia hapo
 
Mleta mada kazi kukosoa thread za wenzake mda wote kutafuta kiki😀
angekuwa anajua angenawa jna maziwa inakata pilipili fasta😀 kumbe ni mjinga pia. .
We unaona hapa kuna kick? Mi hata sikuwa najua hilo. Anyway, siwezi kukubishia mtaalamu.
 
Juzi nlikuwa na demu mmoja tumetoka wote job tukapitia kula sehemu na kunywa kidogo. Of course ni demu ambaye huwa tuna chezeana chezeana. Hatuna mapenzi ya kudumu ila tukihitajiana tunakutana tuna nanii then life goes on.

Sasa tumekula na kunywa nikawa nataka kuondoka. Aliniambia atapanda Uber tu wala nsihangaike. Tukaja kwenye kimeo changu tuagane. Katika kukisiana n.k nikaamua kupima oil.

Nlishasahau kuwa tulikula makange ya kuku na mimi ni mpenzi sana wa pilipili. Na sikunawa vizuri kuondoa pilipili maana pia kuna pilipili niliishika mkononi nikawa natafunia nyama.

Nlimwonea huruma yule dada kwa kweli. Aliwashwa sana... Halafu tukawa hatujui sasa nifanye nini. Ikabidi kumnawisha na maji ya chupa. Aibu ilitoka akashuka akachuchumaa huku kapandisha sketi. Nikawana namwagia maji ananawa. Aisee, ikabidi nimpeleke kwake. Nikamvua nguo. Kumcheck kule chini, kumekuwa kwekunduuu.

Wadau muwe makini sana. Kabla hujafikiria kupima oil hakikisha umenawa kwa sabuni, maji safi na salama. Pia tumia na sanitizer.
Ungechomeka kitu mbele kwa mbele
 
So mkahairisha game?
Ilishawahi kunitokea hii , nilikula pilipili wakati nanawa nafikiri haikuisha mikononi ile tunachezeana na demu nikamshika kwenye k , aliwashwa balaa sio kwa machozi yale na shughuli iliishia hapo
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom