Wadau msaada wenu: Nina mtu wa karibu anayo shida kubwa. Je, atumie tiba ya dua au maombi ili atatue shida yake?

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
822
1,000
Wadau,

Tafadhali rejeeni somo hapo juu.

Ninaye mtu anayo shida kubwa mno na anahitaji msaada.

Amejiwa na watu wawili tofauti wanaodai kuweza ondoa shida aliyonayo.

Mmoja atibu kwa dua na mwingine atibu kwa maombi.

Tafadhali mshaurini njia ipi yafaa zaidi kwani hospitalini imeshindikana.

Aksanteni sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom