Kama kichwa habari kinavyojieleza hapo juu lengo nahitaji msaada wenu wa kimawazo na vitendo.
Nianze kwa utambulisho mdogo
Me ni kijana ambae nina umri wa 21yrs.
Ambae pia natokea moja kati ya family duni.
Ambapo pia kiwango changu cha elimu ni kidogo.
Nimeanza kupambana toka nikiwa na umri wa miaka 17 huku wazee nao pia wakinisaidia kwa kadiri wawezavyo ila kila kukicha maisha yanzidi kuwa mabaya, nateseka moyo, akili mpaka viungo.
Sipigi hatua mbele; kazi nyiingi za mtaani nimefanya pia kama ni biashara ndogo ndogo nimefanya ila matokeo ni 0.
Mpaka sasa nina deni la mtu ananidai laki 5 ila hata pa kuzipata sina mpaka nayaandika haya nipo kwenye wakati mbaya haswaa.
Baba na mama nao hali ngumu kwa huu msimu hata mazao tulioyapanda hayajastawi, kwa sasa muhimili wa family alikuwa ni mama, yeye alikuwa na genge ambae pia kwa sasa ndo yuko hospital toka week iliopita ilikuwa yeye ndo ananunua unga na huduma kwa wadogo zangu ila nae afya hana tena, dah!
Msaada mkubwa ambao wana jamvi wenzangu nauhitaji ni huu:
Mpaka sasa nina taaluma/skills moja tu
Nina ujuzi wa kuongea na kuandika ARABIC LANGUAGE.
Sasa nauliza kama kuna yeyote humu anaweza nipatia connection ya kupata kazi kupitia haka kaelimu niliko nako ili nione kama nitaweza pambana na pia kama una msaada wowote juu yangu, nitashukuru aisee.
Kama kuna uwezekano wa kazi kupitia hio taaluma nitashukuru.
Mawasiliano yangu nayotumia ni +255626937785. Hii namba ipo WhatsApp tu au unaweza kuniPM.