Wadau msaada wa laptop ina shida

OSAM

Member
May 14, 2011
31
2
WADAU NINAOMBENI MSAADA NINA LAPTOP INSPIRON 600m inashida na haiwaki kila nikiunga adapter yake adapter inazimika taa ya kijani inayokua inawaka sijui ni nini tatizi nimejaribu kufungua ndani na nimesafisha motherboard yote lakini kitu ni kile kile kama kua mdau mwenye solution ya tatizo hili ninaomba msaada.
 
kabla hujapeleka kwa fundi, jaribu kutafuta adaptor nyingine inayoingiliana na mashine yako kwa mtu mwingine ambayo unahakika inafanya kazi then jaribu kwako uone, ikifanya basi uju tatizo ni adaptor na sio mashine...au jaribu adaptor yako kwa mtu mwingine!
 
Back
Top Bottom