Wadau msaada: Namtafuta ( kefa mkongwa,&betty singano) wote walisoma njombe secondary

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
Nimepoteza Mawasiliano na hawa Ndugu zangu Keffa Mkongwa na Betty Singano wote waliwahi soma Njombe Secondary Kidato cha tano na sita.
Walikuwa class mate wangu.
mwenye taarifa nao kati yao anisaidie mawasiliano kwa Benno2002@gmail.com
Ahsanteni na Kazi Njema ya kulijenga Nchi
 
Kuna jukwaa lake please mkiingia JF Soma sheria na taratibu za forum. Hapa sio michuzi blogspoti Ni kama vile huwezi kunya kila mahali ili mradi haja kubwa imeku thight. Lazima ujue toilet ilipo ili upunguze.............
 
Back
Top Bottom