Wadau msaada gari inashida

BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
985
1,296
wakuu naomba msaada wa kujua tatizo ninagari yangu Toyota sienta inakula mafuta hlf bahati mbaya fuel gauge kwenye dashboard ukiweka mafuta haipandi wala kushuka inaonyeshaa bar moja tu hata uweke mafuta vipi bahati mbaya inasababisha gari kuishiwa mafuta bila kujua.
 
wakuu naomba msaada wa kujua tatizo ninagari yangu Toyota sienta inakula mafuta hlf bahati mbaya fuel gauge kwenye dashboard ukiweka mafuta haipandi wala kushuka inaonyeshaa bar moja tu hata uweke mafuta vp bahati mbaya inasababisha gari kuishiwa mafuta bila kujua
Boya la pump limeharibika
 
Back
Top Bottom