Unakuta binti ana b/f wake tangu akiwa level za sec, boy anajiweka kwa binti kiukweli koz anategemea badae flan aje awe wife!!jamaa anamsapoti binti mpaka kufikia level ya chuo!!baada ya kujoin chuo binti anaamua kumpiga chini boy, na hili tukio limeshawakuta vijana wengi....hii kitu % kubwa ya mabinti huwa wanaifanya sana!!!
wadau mnasemaje hili, hii kitu huwa inasababishwa na nini?
wadau mnasemaje hili, hii kitu huwa inasababishwa na nini?