Kuna wakati hapa JF mdau fulani wa UK alielezea similar case, na nafikri (correct me if im wrong) aliweka hadi picha kuonyesha Ofisa wa Utalii akitumia trip ya kuitangaza Tanzania kwa Utalii na pia kutangaza kampuni yake!!!!!.........ikafika mahala akawa anatumia muda mwingi kuongelea kampuni yake zaidi ya majukumu yaliyompeleka UK........
.......pengine Mkuu Lunyungu anaona uwezekano kama huo kwa hawa wakuu Mwenguo na Macha to do the same upo...............however, Mkuu Lunyungu tupatie facts kama walivyofanya jamaa zetu wa UK.
Pili, Mkuu Lunyungu kagusia, kuhusu tour package zinazolipiwa huko huko US, Canada na Ulaya............ni kwa namna gani Tanzania tunanufaika nazo......i.e. mtu analipa lets say US$ 5000, covers for him/her everything................yeye ni kuleta begi lake tu na macho yake.............hiyo kama haitoshi bado watafungua na hoteli/kambi zao + usafiri wao.........well hii biashara mimi siijui sana.........lakini im curious to know Serikali yetu inafaidika vipi kimapato