Wadau mnaionaje hii..... Naombeni mchango wenu

nzuri,too shiny ,unataka ifanye nini hasa,naona matangazo meengi,

nataka iwe kwa ajili ya habari za changamoto, i think unanielewa ninaposema changamoto, kama hali ya nchi kiuchumi, ki-technology, kielimu, ujasiliamali na mambo mengine ya namna hiyo, about matangazo meengi, nimeweka kama utambilisho tu coz bado haijawa full, but nategemea kuweka vitu vingi na articles za kuelimisha soon.
 
Ni nzuri lakini naona una mambo mengi kwa nini usilenge kitu kimoja kama ni ujasiriamali basi lakini hapa nimeona unashughulika na siasa, news, nk
 
Ni nzuri lakini naona una mambo mengi kwa nini usilenge kitu kimoja kama ni ujasiriamali basi lakini hapa nimeona unashughulika na siasa, news, nk

Ahsante kwa ushauri, zile post niliziweka wakati naanza kuidesign, but sitegemei kuweka habari za siasa, nitajikita zaidi kwenye UJASIRIAMALI, ELIMU, UCHUMI na MAENDELEO YA TEKNOLOJIA.

NISHAPATA MDAU MMOJA WA UJASIRIAMALI, NITAHITAJI PIA MCHANGO WAKO PALE ITAKAPOBIDI.
 
You are always welcome kama unahitaji makala za ujasiliamali utazipata kutoka kwangu kwa masharti kwamba zisiwe edited kuongeza au kupunguza kitu bila kibali changu na uniruhusu kuweka signature kwenye post yangu
 
Nashukuru sana mkuu, hilo halina wasi wasi kabisa, lengo kubwa ni kuufikishia umma wa Watanzania elimu ambayo naamini itakuwa na manufaa kwa wale watakaoiwekea mkazo.

Nitawasiliana na wewe. @ Babalao
 
Good blog, naona habari nyingi zimepitwa na wakati lakini...! Ukitaka iwe maarufu weka habari kwa picha zaidi kuliko maneno mengi, watanzania ni wavivu wa kusoma...!
 
good blog, naona habari nyingi zimepitwa na wakati lakini...! Ukitaka iwe maarufu weka habari kwa picha zaidi kuliko maneno mengi, watanzania ni wavivu wa kusoma...!

mkuu umenena, watz wengi wanapenda picha, asante kwa ushauri.
 
Hofu yangu isije ikatekwa na Mafisadi kama blog nyingine maarufu hapa nchini.
Mfano ya michuzi na ya mjengwa kutwaa rangi ya kijani tu.
 
Hofu yangu isije ikatekwa na Mafisadi kama blog nyingine maarufu hapa nchini.
Mfano ya michuzi na ya mjengwa kutwaa rangi ya kijani tu.

Hahahahaaaaaaaaa, Mkuu umenifurahisha sana, hata iwe maarufu kivipi sitakuwa tayari kuruhusu mkono wa fisadi yoyote kwenye hii blogu.
Ahsante mdau.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom