MwanaMfalme
Member
- Jun 16, 2013
- 23
- 5
Kama umesikiliza bunge leo,tar 17/june/13 utakuwa umemsikia Lukv na tamko la serikali
dhidi ya vitendo vya kigaidi vinavyoendelea huko Arusha na kwingineko,kwa motivation hyo nadhani inaweza kusaidia kufichua mtu,kikundi au taasisi inayoratibu na kusimamia
utekelezwaji wa vitendo kama hvyo vinavyo tishia amani yetu Tanzania.