Wadau mlioko Mwanza na wapenzi wa CHADEMA

lapc

Member
Oct 29, 2010
18
3
kwa makamanda mlioko mwanza 2naomba mkasalimu kamanda we2 RWAKATARE aliekua anagombea ubunge bukoba na alikua Igunga pia kuhakikisaha 2nachukua jimbo amelazwa Bugando hospital anaumwa yuko wodi VIP 212.

leo saa 11 alfajiri alini2mia sms niwaambie wapenz wa CDM na wapenda mabadiliko, pia 2muombee sana apone haraka arudi Igunga kwa kazi zaidi ya kuyaondoa magamba....
 
Huu ni wito mzuri. Natumaini watz waliopo mwanza wenye mapenzi mema na nchi hii, bila kujali itikadi zao wataupokea huu wito positively na kutujuza pia anaendeleaje!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom