Wadau mlioko Dar, hayo mabasi ya haraka yako kazini?

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Habari ya asubuhi wadau,

Naomba kujua huko Dar, hayo mabasi yenu ya kwenda kasi leo yameanza kazi? Maana tuliambiwa na mh. Majaliwa kuwa deadline ya pili itakuwa leo baada zile za awali kukwama! Je, vipi watanzania wenzentu leo full kiyoyozi?
 
Walimu watakuwa wanapanda bure, ngoja waje wanaotumia barabara ya morogoro mimi nipo mbagara
 
Ata mi sjayaona nimeishia kuzungukia njia ya kigogo mburahati ili kuepuka foleni ya morogoro road
 
Back
Top Bottom