Wadau mbali mbali na wataalam wenye sikio la muziki hebu tumpime huyu dogo!

Bado mchanga sana. Pia waandaaji wa video hawakutoa nafasi ya kutosha kwa waimbaji ili waonekane wakiimba. Hilo wamefeli kwa kiwango kikubwa mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom