Wadau: Kuwahi kumaliza Tendo la Ndoa na kuchelewa kipi kina madhara? Na kipi ni sahihi?

Habari ndugu zangu

Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Tendo la ndoa huwa halimaliziki...lilikuwepo toka enzi na bado litaendelea kuwepo. Maendeleo hayana vyama
 
Back
Top Bottom