Wadau kuna mwenye info zozote kuhusu nafasi za kazi za NIDA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau kuna mwenye info zozote kuhusu nafasi za kazi za NIDA?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by milton2011, Oct 24, 2011.

 1. m

  milton2011 Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau kuna mwenye info zozote kuhusu nafasi za kazi za NIDA?
   
 2. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  umesikia zimetoka au
   
 3. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  watu wameshapigiwa simu since last week kuchukua barua za ajira kama hukupigiwa endelea kuvuta subira
   
 4. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  Ni kweli watu wapo kwenye induction course sasa hivi
   
 5. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Barrick wana mfumo kwamba IF YOU ARE NOT CONTACTED WITHIN 30 DAYS AFTER APPLICATION KNOW YOU ARE UNQUIRIFIED.
  sasa mkuu labda hao jamaa wa NIDA nao wako sawa na Barrick japo mabo yao yanaonekana hayako wazi,,,pole jaribu kutafuta kazi mahali kwingine,...
   
 6. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unqualified

   
 7. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hivi jamani NIDA mishahara yao ni kama tshs ngapi?
   
Loading...