Wadau KIU HAITAMBULIKI UGANDA NA KENYA WAMEFUTA DEGREE ZOTE ZA WALIOSOMA KIU BONGO VIPI?

MKL

Senior Member
Mar 2, 2012
126
77
Wana UDASA,

Katika pitapita zango kwenye mtandao nimekuta habari ambayo kwa ufupi tu
inaarifu kuwa chuo kikuu cha "Kampala International (KIU)" hakitambuliki
nchini Kenya.

Nimeangalia tovuti ya TCU naona hawa jamaa wanatambulika hapa Tanzania na
wanajiita Kampala International University Dar es Salaam College (KIUDC).

Sidhani niko katika nafasi nzuri kwa sasa kuzungumzia ubora wa vyuo vikuu
nchini (kikiwemo CKD) ila habari kama hizi toka kwa majirani zetu ni
kengele ya ishara kwa TCU kuwa macho/makini juu ya yale yanayojiri katika
vyuo vyetu hivi ama sisi kuwa macho juu ya TCU na utendaji wake.

Wasalaam,
RN

Kwa habari zaidi fatilia hapa:

Top Ugandan varsity fails Kenya quality test - News - nation.co.ke

Walioshindwa kufungua "link" habari hii hapa chini kwa mujibu wa Gazeti la
Daily Nation, 22 Nov 2012

One of the most popular universities in East Africa is not accredited,
according to the Commission for Higher Education (CHE).

This means that thousands of Kenyans who graduated from Kampala
International University (KIU) in the last ten years or so were awarded
qualifications not recognised in Kenya.

Three of the applicants for the posts of Inspector-General of Police and
deputies were disqualified because their certificates from KIU were not
recognised by CHE.

“This is a cause for alarm. The institution is not chartered and therefore
any papers from KIU cannot be recognised in Kenya,” CHE Chief Executive
David Some told the Nation on Wednesday in an interview.

“When students graduate from KIU, the commission cannot undertake
‘equation for qualification’ of their papers, meaning that they are not
qualified according to the Kenyan standards,” he added.

Prof Some spoke days after Ugandan authorities directed KIU to stop
awarding 42 PhD degrees, saying it lacked capacity to mount the courses.
(READ: Higher education chaotic)

The National Council for Higher Education (NCHE) of Uganda stopped KIU
from awarding the PhDs on the eve of its graduation ceremony until they
were verified. Of the 42, officials said 30 were to be awarded to Kenyan
students.

The New Vision of Uganda reported that the PhD students were about to
graduate when NCHE said the institution did not have the capacity to pass
out such degrees.

NCHE Executive Director A B K Kasozi is reported to have written to the
office of the university’s vice-chancellor stopping the graduation.

Prof Kasozi set out conditions for KIU to beat before the 42 PhD students
can be allowed to graduate, which included submission of the external
examiners’ reports on each of the students, the period each student had
taken to complete the programme and the list of external and internal
examiners.

Prof Some said Kenyans need to do background checks before they enrol in
the institutions

_______________________________________________
UDASA mailing list
UDASA@udsm.ac.tz
UDASA Info Page

http://lists.udsm.ac.tz/mailman/listinfo/udasa
 
bora wabongo wakasome hata open university kuliko hizo makumash za kiu
 
KIU banned to operationalize PHD's courses in Kenya not bachelor degrees, here in Tanzania, KIU is not teaching students PHD courses but first degree. So its ok for those who studied first degrees at KIU.
 
Yaani hivi vyuo vimekua kama utitiri, baada ya KIU tutaletewa NJAA, nyinyi subirini tu...
 
KIU banned to operationalize PHD's courses in Kenya not bachelor degrees, here in Tanzania, KIU is not teaching students PHD courses but first degree. So its ok for those who studied first degrees at KIU.

Its not OK sababu degree zao zinatokana na programme of study ya main campus ambayo ndio hiyo KIU ya UG. Kuna haja ya review ya hiyo accreditation waliyopata toka TCU (Sina hakika kama wanayo full au ni provisional)
 
KIU banned to operationalize PHD's courses in Kenya not bachelor degrees, here in Tanzania, KIU is not teaching students PHD courses but first degree. So its ok for those who studied first degrees at KIU.
Mmh, sidhani kama umeielewa vizuri hii habari. Hao wanaoomba nafasi za upolisi watakuwa pia ni PhD? Hujaona kwamba hata walioomba nafasi za kwenda upolisi Kenya walikataliwa kwa kuwa chuo walichosoma hakitambuliki? Kwa hawa wenzetu, ni dhahiri kwamba KIU kama chuo hakitambuliki na si tu PhD au master program.
 
hapo patamu maana nimechaguliwa undergraduate pharmacy hapo hapo yan cjui itakuwaje?afu ukchek point zangu haniruhusu nihamie bugando,muhimbili,stjohn wala kcmc
 
Hama faster kwa wezi hao,hao jamaa hawana laboratory za ukweli,walimu na facilities zingine......ada kubwaaaa......ka vipi hamia chuo chingine na kozi nyingine kabisa mbona zipo nyingi sana!!!!
 
Wana UDASA,

Katika pitapita zango kwenye mtandao nimekuta habari ambayo kwa ufupi tu
inaarifu kuwa chuo kikuu cha "Kampala International (KIU)" hakitambuliki
nchini Kenya.

Nimeangalia tovuti ya TCU naona hawa jamaa wanatambulika hapa Tanzania na
wanajiita Kampala International University Dar es Salaam College (KIUDC).

Sidhani niko katika nafasi nzuri kwa sasa kuzungumzia ubora wa vyuo vikuu
nchini (kikiwemo CKD) ila habari kama hizi toka kwa majirani zetu ni
kengele ya ishara kwa TCU kuwa macho/makini juu ya yale yanayojiri katika
vyuo vyetu hivi ama sisi kuwa macho juu ya TCU na utendaji wake.

Wasalaam,
RN

Kwa habari zaidi fatilia hapa:

Top Ugandan varsity fails Kenya quality test - News - nation.co.ke

Walioshindwa kufungua "link" habari hii hapa chini kwa mujibu wa Gazeti la
Daily Nation, 22 Nov 2012

One of the most popular universities in East Africa is not accredited,
according to the Commission for Higher Education (CHE).

This means that thousands of Kenyans who graduated from Kampala
International University (KIU) in the last ten years or so were awarded
qualifications not recognised in Kenya.

Three of the applicants for the posts of Inspector-General of Police and
deputies were disqualified because their certificates from KIU were not
recognised by CHE.

This is a cause for alarm. The institution is not chartered and therefore
any papers from KIU cannot be recognised in Kenya, CHE Chief Executive
David Some told the Nation on Wednesday in an interview.

When students graduate from KIU, the commission cannot undertake
equation for qualification of their papers, meaning that they are not
qualified according to the Kenyan standards, he added.

Prof Some spoke days after Ugandan authorities directed KIU to stop
awarding 42 PhD degrees, saying it lacked capacity to mount the courses.
(READ: Higher education chaotic)

The National Council for Higher Education (NCHE) of Uganda stopped KIU
from awarding the PhDs on the eve of its graduation ceremony until they
were verified. Of the 42, officials said 30 were to be awarded to Kenyan
students.

The New Vision of Uganda reported that the PhD students were about to
graduate when NCHE said the institution did not have the capacity to pass
out such degrees.

NCHE Executive Director A B K Kasozi is reported to have written to the
office of the universitys vice-chancellor stopping the graduation.

Prof Kasozi set out conditions for KIU to beat before the 42 PhD students
can be allowed to graduate, which included submission of the external
examiners reports on each of the students, the period each student had
taken to complete the programme and the list of external and internal
examiners.

Prof Some said Kenyans need to do background checks before they enrol in
the institutions

_______________________________________________
UDASA mailing list
UDASA@udsm.ac.tz
UDASA Info Page

_______________________________________________
UDASA mailing list
UDASA@udsm.ac.tz
http://lists.udsm.ac.tz/mailman/listinfo/udasa
Bado UDOM NA VYUO VYOTE VYENYE MAJINA YA WATAKATIFU!
 
KIU inaonyesha wana matatizo, swala la wao kutotambuliwa lilianza kabla ata hawajafungua campus zingine za Tanzania na Kenya.
 
Back
Top Bottom