Wadau! Kilalo kimeniandama! Ushauri .

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Tangu nifike hapa Nairobi sasa yapata 1 wik na ushee hivi !
Weather ni always cold.
Ni weather ipelekeayo fulltym mtu upate hamu ya kupeanwa! (incase uwe si mwanamume shabbabbi ndy labda utaepukwa na hisia).
Wa kuweza kunipea sikujanae huku.
Kama vile haitoshi ninalalapo room yng inapakana na ya mwenyeji wangu (sio hotel)
Leo ni siku ya 3 mfululizo chumba jirani ikifika sa4 hadi kunako sa7-8 wanachapana isivyo kawaida .
Utaniuliza ninajuaje ?
Ni kupitia sauti zao za mihemo na maneno ya kupeana kwao mizuka ya mihemko ya hamasisho za game.
Wadau wamenifanya mie mgeni wao nihesabu boriti.
Wadau wangu mliowahikutwa na kadhia za kihivi nini cha kunisaidia?
Naomba kutoa hoja!
 
..kunywa valium kabla ya kulala,hutosikia sauti zao.......

(wewe weeeeee natania usije rest in pieces buuure nikapata murder case mie......)

Piga Puchu Shem.
Hakuna jinsi.

Yaani yaani shem?
Puchu kabisaaa?
Yaani niifunge timu yangu mabao?
Shem wajua kiniogopeshacho abt puchu ?
Inasemwa ikikuingia damuni hata ikikutokea siku umebakiza blueband ya kutosha tu slesi ulizokuanazo mkononi , na kilalo kimekutite, utajikuta unakula slesi kavu na blueband hiyo unaigeuza kua shemeji wa kaka yako aidha inakua chanzo cha kifo cha mjukuu wa bi'mkubwa wako!
 
Pole, ila wanaliaje kwani? Uwe unaweka earphone then fungua mziki mkubwa au weka pamba kwa masikio
 
Tangu nifike hapa Nairobi sasa yapata 1 wik na ushee hivi !
Weather ni always cold.
Ni weather ipelekeayo fulltym mtu upate hamu ya kupeanwa! (incase uwe si mwanamume shabbabbi ndy labda utaepukwa na hisia).
Wa kuweza kunipea sikujanae huku.
Kama vile haitoshi ninalalapo room yng inapakana na ya mwenyeji wangu (sio hotel)
Leo ni siku ya 3 mfululizo chumba jirani ikifika sa4 hadi kunako sa7-8 wanachapana isivyo kawaida .
Utaniuliza ninajuaje ?
Ni kupitia sauti zao za mihemo na maneno ya kupeana kwao mizuka ya mihemko ya hamasisho za game.
Wadau wamenifanya mie mgeni wao nihesabu boriti.
Wadau wangu mliowahikutwa na kadhia za kihivi nini cha kunisaidia?
Naomba kutoa hoja!

eeh uko nairobi hakuna wadada wengine!!? au na we wamekuwekea tego la kunaxa...
 
eeh uko nairobi hakuna wadada wengine!!? au na we wamekuwekea tego la kunaxa...

Nimtoe wapi ? Namie naogopa vya kuja kuishi kwa kula pumba na kuja kula nusu yai na kijiko kimoko cha uji familia ikasema walau leo kala sana !
Na beibe nasty wangu nilimng'ang'ana tujenae akawa anajishaua !
Sijui anataka kun'tosa!
Hata simuelewielewi .
 
Last edited by a moderator:
shem hutumii biya.......?....

Shem kwenye radi unapeleka na moto wa kuni ? Sijanywa bia mzuka gunia mbili! Nikinywa je?
Bia ikidropu dauni mziki wake waweza ucheza hata nje ya holi shem ujue?
 
Shem kwenye radi unapeleka na moto wa kuni ? Sijanywa bia mzuka gunia mbili! Nikinywa je?
Bia ikidropu dauni mziki wake waweza ucheza hata nje ya holi shem ujue?

huu msala shem.....sasa itakuwaje......?
 
..kunywa valium kabla ya kulala,hutosikia sauti zao.......

(wewe weeeeee natania usije rest in pieces buuure nikapata murder case mie......)

Afu kwa mtu mwenye tittle kama yako nilitaraji kupata a particular advice! Kumbe nawe kitengo cha ushauri kimeenda likizo .
 
ingia rum kwako kabda ya wao kuanza kudo, fungua laptop yako ata ka cm kako ka mchina eka zile video zako za kikubwa fungua sauti adi mwisho af we toka ukirudi mambo powaaa! inawakat stimu ka ndimu kwny maziwa jarib best ang
 
ingia rum kwako kabda ya wao kuanza kudo, fungua laptop yako ata ka cm kako ka mchina eka zile video zako za kikubwa fungua sauti adi mwisho af we toka ukirudi mambo powaaa! Ummi nimeipenda hii maneno !
Kiasi flani umeongea kiutaalamu zaidi ! Ishakukuta makitu ya kihivi nadhani !
 
Back
Top Bottom