Wadau Kampuni ya uwekezaji ya NICO imeishia wapi?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Wachangiaji katika kampuni ya uwekezaji ya NICO mwaka 2007 wakuwa katika wakati mgumu wa kutojua hatima ya hela zao walizo wekeza kutokana na kutokuwepo uwazi juu ya kampuni hii. Naomba wahisika wawaeleze wadau/wawekezaji juu ya kinachoendelea katika kampuni hiyo. naomba kuwasilisha.
 
wawalize regonald mengi na yule somebdy mosha....ujanja ujanja tu ulikuwa.ila sahvi wamekuja na style nyingine wazawa miliki asilimia fulani ktk gesi..sjui washaanza au la
 
Serikali iliangalie hili maana Watanzania wataogopa kuwekeza wakidhani ni utapeli.
 
Serikali iliangalie hili maana Watanzania wataogopa kuwekeza wakidhani ni utapeli.

nayo ni style fulani ya utapeli tu..sema wanao tuingiza kingi na kutuhamasha watu wanawahamini unakuta tunaingia alafu at the end of the day tunakula za uso
.
 
Uwekezaji wa aina hii kwa nchi hauna tija hata kidogo. Halafu Mtu kama Mengi na Mosha suala la NICO linawashushia heshima yao kwa watanzania.
 
Mods tunaomba msaada wenu wa kuwatafuta akina Mengi na Mosha ili waijibu hoja hii tafadhali maana watu wengi wameadhiriwa na NICO.
 
Inasikitisha sana! Nina ndugu zangu ambao walinunuwa hizo hisa!

Kuna kiwanda cha madawa cha huyo Mosha nadhani na Mengi mdogo?(Benjamin)

Anyways, hicho kiwanda NICO kwa ushauri wa kina Mengi na Mosha, walikinunuwa! Lakini kilikuwa either kwenye stage ya mwisho ya kufa ama kilikuwa kimeshakufa!

Manunuzi hayo yenye walakini, inasemekana ndo mojawapo ya sababu za NICO kufa!
 
Back
Top Bottom