Vipi mtaalam wa rambirambi, umeanza kuzikusanya tena?Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Yeah nasubiri leseni ya hii biashara ya rambi rambi manake naona inalipa sana, si unaona msigwa shavu hilo!Vipi mtaalam wa rambirambi, umeanza kuzikusanya tena?
Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Swali je ? Mabina alikuwa na nani wakati wa tukio?hakuwa na wapambe ?Habari zilizozagaa toka tupate habari hii,ni kwamba mabina alimua mtoto mmoja,na yeye kushambuliwa na wananchi hadi kifo chake,lakini ukweli ni kwamba aliua watu watatu pale pale,mtoto alienda kufika hospital .
Wee mbulumundu hiyo kesi inahusiana vipi na siasa?kama hayo unayosema moyon ni ya kwel bac ungekuwa wa kwanza kuipumzisha CCM. Coz laiti ungekuwa umeitembea Tz nzima ukaona watu wanavyokufa kwa huduma za lazma kabisa ambazo zipo ndan ya uwezo wa serikal kuwapa ucngewapa kura kamwe.
Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Kesho ibada itaendeshwaje ? Maneno gani yatatumika.
Nasubiri itifaki itakayotumika hapo kesho.
Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Wee mbulumundu hiyo kesi inahusiana vipi na siasa?
Vp hujaongea na ubalozi wakupe kibali bt hawatakupa ukusanye rambirambi kwani za awali ulikula.Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Hii ishu inasikistisha sana
Kama ni kweli, basi adhabu aliyopata alistahili.
Wee mbulumundu hiyo kesi inahusiana vipi na siasa?
Mkubwa Lukosi!Yeah nasubiri leseni ya hii biashara ya rambi rambi manake naona inalipa sana, si unaona msigwa shavu hilo!