Wadau hivi ile adhabu ya Shilole baby kufungiwa mwaka mmoja imekwisha lini?

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Wadau hivi ile adhabu ya Shilole aka Shishi baby kufungiwa mwaka mmoja imekwisha lini?
Cheki link ifuatayo hapa chini?
Picha 20 Shilole, Linah, Baba Levo walivyoidondosha burudani Zanzibar - TZA_MillardAyo
AW199JUU.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ile adhabu imesogezwa mbele kwa sababu zilizonje ya uwezo wa Basata.
images
 
Ukiitumikia ccm chini ya mwenyekiti aliepo sasa huta adhibiwa ukatumikia adhabu hata moja, fanya jambo lolote la kuisifu ccm, kisha endelea na upuuzi wako huguswi kamwe, kwani wema hajhujumu Tanesco, umesikia anatafutwa?
 
Sasa naanza kuelewa, ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
mtoa mada embu jiheshimu..shilole ndiye msanii bora wa kike africa..level zke ni za kina beyonce,diana rose,JLO,Tina turner..halafu leo afungiwe?????we vipi weeeeeeeee
 
Back
Top Bottom