Wadaslam buana

mchemsho

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
3,212
867
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu yko, yaan wana maneno mengi htarii. Sasa ukifika mwenyew labda ulikuwa na mishe zako zimekamilika unasema hz ck mbili kabla cjaondoka ngoja niwacheck ndugu zang niwape hata hi, weeeeee swaga zinaanza utackia daaah! pole sana ndugu yng nimepata dharula mara moja nipo njian naelekea tanga kuna ishu moja hvi nafatilia ebu nicheck kesho si bdo upo, Kesho sasa utackia yaan kuna kasite kangu kamoja kapo magwepande nimekuja kucheck ila ntawah kurud nikifika tuu ntakustua nikuelekeze gar za kupanda kuja kwang....aaahaha mara giza limeingia unaamua kutumia ustaarab kumcheck kwamba me ndo safar imefika kesho natimua zang, Yaan atajifanya kusikitika kama vle cjui nn, mwisho huishia kusema daah nisamehe ndugu yng mambo mengi, bas ukija tena tutaonana.... aahahaha uwiiii nyie muwage tuu na aman naona mnapataga sana shida, ukute mtu mwenyew alikupigia tuu kukusalimia ndugu yke hata hakuwa na shida ya kuja kwako.
 
hiyo ni sawa na unamkuta mtu anakula akakukaribisha kula kumbe hamaanishi ila anataka aonekane kuwa siyo mchoyo tu....ila ukinawa & kutaka jumuika hali ya hewa yabadilika ghafla
 
Hatuna hela bro, ujaisikia ile nyimbo ya dar kugumu
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu yko, yaan wana maneno mengi htarii. Sasa ukifika mwenyew labda ulikuwa na mishe zako zimekamilika unasema hz ck mbili kabla cjaondoka ngoja niwacheck ndugu zang niwape hata hi, weeeeee swaga zinaanza utackia daaah! pole sana ndugu yng nimepata dharula mara moja nipo njian naelekea tanga kuna ishu moja hvi nafatilia ebu nicheck kesho si bdo upo, Kesho sasa utackia yaan kuna kasite kangu kamoja kapo magwepande nimekuja kucheck ila ntawah kurud nikifika tuu ntakustua nikuelekeze gar za kupanda kuja kwang....aaahaha mara giza limeingia unaamua kutumia ustaarab kumcheck kwamba me ndo safar imefika kesho natimua zang, Yaan atajifanya kusikitika kama vle cjui nn, mwisho huishia kusema daah nisamehe ndugu yng mambo mengi, bas ukija tena tutaonana.... aahahaha uwiiii nyie muwage tuu na aman naona mnapataga sana shida, ukute mtu mwenyew alikupigia tuu kukusalimia ndugu yke hata hakuwa na shida ya kuja kwako.
 
Aisee msije huku bwana..Ndugu zangu so kwamba hatuwapendi no..
Bali Hali mbaya..we mtu mzima ukija dar utalala wapi? Utakula Nini.
Mim na make wang na watoto twakaa room moja.
Na ndo maana tukija huko mikoani( wengin nyumbani)
Tunwatania Lin utakuja dar..lkn so kweli
UMASKINI UNATUFANYA TUWE WACHOYO NA ROHO MBAYA.
MTUSAMEHEEE SANAA
.)
 
Tatizo umbea wenu mnapokaribishwa kwa watu mtaani, mtapeleka umbea mikoani jinsi fulani anavyoishi Dar.
 
Dar kuzuri kwa wa dar wenyewe, kwa mtu wa mikoa ni shida. Na mikoani awe ametokea vijijini, anaweza amua kuindoka kesho yake.
 
Ngoja namm niende huko dasalam hapa Tarime sipasomi kabisa, niwahi kabla Mvua haijaisha nimeona fursa ya kuvusha watu mgongoni kwa buku pale jangwani
 
Hilo swala hata mimi nilivyokuwa mkoani nilikuwa nashangaa sana ni kwanini hawa wanaoishi dar wanafanya hivyo, sasa hivi na mimi nipo dar na nimeshawafanyia hivyo jamaa zangu kama watatu hivi.
Ukija kuishi dar utaelewa ni kwanini uwaga wanafanya hivyo especially kwa mtu aliyekuja dar kuanza maisha from the scratch
 
Watu wengi dar wanavaa vizuri mikogo mingi lakini wanalala kwenye miti kama mabundi na wengine wanalala ubungo terminal nenda pale usiku ubungo kuna watu wanaishi mule
 
Sasa mtu analalia ma- box, hataki hiyo aibu ukaitangaze kwenye ukoo, sisi watu wa mikoani tuna midomo sana
 
Aaah kama huju kwetu mbezi beach sitaki kabisa watu wa mikoani, hawataondoka kurudi kijijini, mfano maji safi ya bomba, mitaa imetuliaaaa, msosi siyo shida, usafiri, kama kawa, nikiwaonyesha tu wagonjwa wooote wa mkoani wanaopelekwa muhimbili wataishia kwangu, eti wengine wana funga safari kuja kumuona mgonjwa, kumbe asafishe macho tu. mambo yangu safi.wanapumzika kazi za shambani. hawataki kukaa kiluvya kwa mdogo wangu wanapaona ni shamba.sina hamu napangisha sasa
 
Back
Top Bottom