mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,212
- 867
Watu waishio dar huwa wananifurahisha sana sometime, tukiwa mikoan kwetu wanakuwa wakarim sana, mara utackia karib sana dar bwana, ukija usiondoke bila kunitafuta uje upaone hta ninapoishi ndugu yko, yaan wana maneno mengi htarii. Sasa ukifika mwenyew labda ulikuwa na mishe zako zimekamilika unasema hz ck mbili kabla cjaondoka ngoja niwacheck ndugu zang niwape hata hi, weeeeee swaga zinaanza utackia daaah! pole sana ndugu yng nimepata dharula mara moja nipo njian naelekea tanga kuna ishu moja hvi nafatilia ebu nicheck kesho si bdo upo, Kesho sasa utackia yaan kuna kasite kangu kamoja kapo magwepande nimekuja kucheck ila ntawah kurud nikifika tuu ntakustua nikuelekeze gar za kupanda kuja kwang....aaahaha mara giza limeingia unaamua kutumia ustaarab kumcheck kwamba me ndo safar imefika kesho natimua zang, Yaan atajifanya kusikitika kama vle cjui nn, mwisho huishia kusema daah nisamehe ndugu yng mambo mengi, bas ukija tena tutaonana.... aahahaha uwiiii nyie muwage tuu na aman naona mnapataga sana shida, ukute mtu mwenyew alikupigia tuu kukusalimia ndugu yke hata hakuwa na shida ya kuja kwako.