Wadaiwa wa Bodi ya mkopo wa wanafunzi elimu ya juu soma hiyoooo

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Dz_9LnOWkAE2kg- (1).jpg
 
Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba mbingu na nchi, ona hawa wasioijua maana ya kusoma, ni kujifubza kufikiri na si kuajiliwa, wazoee kutumia fikra , ubunifu, kujituma, kutafakari, kujisajilia Mali ili kumudu changamoto za maidha ya kila siku. Amina
 
That is what am going to do!
Ningejua nilivyo maliza form four ningeenda zangu Mbeya tech kusomea ufundi mchundo, saa hizi ningekua nawajengea treni ya mwendo kasi... Nimesugua viatu wee! Elimu yenye hata haijanitoa kimaisha...
ok
 
mimi nishajiajili siwezi lipa hiyo pesa maana niliila bata yote, pombe zilipata shida mno
 
That is what am going to do!
Ningejua nilivyo maliza form four ningeenda zangu Mbeya tech kusomea ufundi mchundo, saa hizi ningekua nawajengea treni ya mwendo kasi... Nimesugua viatu wee! Elimu yenye hata haijanitoa kimaisha...
Pole mkuu yaelekea ulipo maliza kidato Cha 4 na Cha sita ukiwa unasubiri matokeo ulienda KUSOMA "twisheni" badala ya kujifunza ujuzi wowote
 
Back
Top Bottom